ChimbuvuJudgment na nitonye mmenisengenya weeeeee mi nawaangalia tu,
........ Mamndenyi achana nao hawa wataishia kushika pembe huku bishanga anajinafas!!!!!
The katibu, hivi kinachokufanya ukang'anganie hako kahaya ni nini ?
Hebu mng'olee fuse nikupigie pande kwa dogo langu.
Ukaishi manchi ya watu!
Utakula lini mifirigisi ya mbuzi wewe!