ujumbe wa leo

Nitty!
Hivi umefikiria nini kuuliza this quiz? Unajua kopo zisizo rasmi , ni zile mf. Kunako mikesha ya mwenge, michirikuni, ngomani n.k na mostly game humaliziwa majanini.
Sasa hawa unaowasemea mi nawaheshimu sana ujue?

Bishanga anaujua ukweli, ujue Mamndenyi anamzimia sana Bishanga ila The secretary kaweka kigingi. Hii couple inaendesha mambo yake kwa usiri mkubwa sana
 
Last edited by a moderator:
Bishanga anaujua ukweli, ujue Mamndenyi anamzimia sana Bishanga ila The secretary kaweka kigingi. Hii couple inaendesha mambo yake kwa usiri mkubwa sana

Sasa naenda kuamini, wewe umekua mtu kama wa 7 hivi kukusikia wasema hayo!
Obviously ukiona kitu chatajwa na watu zaidi ya wa5 kipo.
Risemwaro ripo arooh !
Yaani unasema wanakurana kwa sili ?
 
Last edited by a moderator:
Sasa naenda kuamini, wewe umekua mtu kama wa 7 hivi kukusikia wasema hayo!
Obviously ukiona kitu chatajwa na watu zaidi ya wa5 kipo.
Risemwaro ripo arooh !
Yaani unasema wanakurana kwa sili ?

Ngoja uje uone macho yatakavyomtoka Bishanga
 
Last edited by a moderator:
Niombee ruhusa kwa Bishanga

The katibu, hivi kinachokufanya ukang'anganie hako kahaya ni nini ?
Hebu mng'olee fuse nikupigie pande kwa dogo langu.
Ukaishi manchi ya watu!
Utakula lini mifirigisi ya mbuzi wewe!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…