Sasa kwani wewe ndo shetani bana? Me namkemea shetani asije kuunganisha ndoa yanguMimi huyo au...???
Teh huko sirini nishamlegeza kabisa, so ilikuwa bado tu kumkemea hadharaniHahahaaa....unamkemea hadharani sirini wamkaribisha lol
Tuwoweni
Tuwoweni
Maweee.....wewe anakufaa my first born
Hahaha wapi weye unadhani mi sijui mishe zako....