Miss Pirate
JF-Expert Member
- Oct 27, 2010
- 305
- 75
Tena kwa sie wanawake, mamamkwe siyo mama mama yako hata ukimbeba mgongoni hata umwogeshe. ukiwa na matatizo yako kimbilia kwenu ukijifanya kumshitaki mumeo kwa mama yake imekula kwako. Siyo mzazi wako yule na kamwe hawezi kukuelewa. Usipoteze muda kufanya hivyo.
Cha maana ni kumheshimu imetosha na usiweke vikolombwezo vingine.
Kuolewa kwako itakuwa ni bahati sana:glasses-nerdy:!!!
mhm sasa kweli jamani wanawake kama hawa wakuoa!!?? sii wakugegeda tuu na kutupa kule
haswaa na tena ndio wavunjaji wakubwa wa nyumba zetu.
habri ndiyo hiyo mgegedaji mkuu EAC
Tena kwa sie wanawake, mamamkwe siyo mama mama yako hata ukimbeba mgongoni hata umwogeshe. ukiwa na matatizo yako kimbilia kwenu ukijifanya kumshitaki mumeo kwa mama yake imekula kwako. Siyo mzazi wako yule na kamwe hawezi kukuelewa. Usipoteze muda kufanya hivyo.
Cha maana ni kumheshimu imetosha na usiweke vikolombwezo vingine.
Apana shosti sio wote,wengine wanaubinadamu na wanapenda haki,nadhani inategemea vile unavyo mchukulia kumbuka sikuzote mapenzi ndio yatamfanya hata kama anaroho mbaya basi atabadilika nakwambia haya kwa kuyaona,mie na mkwe wangu tunaelewana sana tena sana sifanyi jamboo bila kumshirikisha kama mzazi na usisahau na wewe iko siku utakua mkwe kama yeye...Tena kwa sie wanawake, mamamkwe siyo mama mama yako hata ukimbeba mgongoni hata umwogeshe. ukiwa na matatizo yako kimbilia kwenu ukijifanya kumshitaki mumeo kwa mama yake imekula kwako. Siyo mzazi wako yule na kamwe hawezi kukuelewa. Usipoteze muda kufanya hivyo.
Cha maana ni kumheshimu imetosha na usiweke vikolombwezo vingine.
Una msongo wa mawazo... sio bure