Ujumbe wa leo kwa wanawake wa mjini

Ujumbe wa leo kwa wanawake wa mjini

Girls, wala type hii isiwababaishe.

Hii ni dizain iliyoshindikana kwao kwa kuwa lele mama sasa muendelee na malezi wakati hata uchumba hamjaunusa.

Msikubali. There are good decent men out there who are looking for love, not househelps. Take your time, focus on your careers na mjitunze. They will find you.
 
Inategemea na mwanaume unaemfulia na kumpikia hata sisi huwa tunahit na ku run pia so hatuwezi fanya kwa wa hivyo tunafanya hivyo kwa wanaume ambao sio mabahili
Na wanaotaka kutuoa
Mwanaume hajakuchumbia unamfulia na kumpikia ili iweje
 
Girls, wala type hii isiwababaishe.

Hii ni dizain iliyoshindikana kwao kwa kuwa lele mama sasa muendelee na malezi wakati hata uchumba hamjaunusa.

Msikubali. There are good decent men out there who are looking for love, not househelps. Take your time, focus on your careers na mjitunze. They will find you.
Eti ukampikie
 
Maana makuku ya kisasa ukitaka kuyafuga basi ujipange kweli kweli kuanzia mtaji wa kipesa hadi muda wa kuyahudumia!

Ndo nyie sasa
Dah! hii statement kali.
 
hahhaa eti watoza ushuru wa manispaa..sio wale wa toza ushuru wa Caesar bwana herode ""...
 
Mkuu tafuta hela acha kulialia . Ukiwa na pesa hvyo ni vitu vya kawaida . Wanawake wa nahitaji matunzo .
hahaha wanawake wanahitji matunzo ...kamuulize Dallas " "yaliyomkuta
 
hahhaa mtoa mada una enferior complex sio bure "" Ati kucha ndefu kama kisu cha ngariba daahh...
 
Back
Top Bottom