Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,190
- 45,922
JK bana anajua sana kuvaa
Tushazionaga hizo,Ila parameter ya ulinzi ni tofauti kwa vyeo tofauti,huyu ni mstaafu Mlinzi ni Kama witness wa anayoyafanya.Sio saw a na aliyemadarakani ulinzi ni ulinzi standby 100.Picha ya Magu akinunua Mapapai mara akinunua Karanga hujaziona mkuu?
Msiwe mnakurupuka ku comment humu JF vitu msivovijua mkuu utaonekana mjingaAache unafiki mbona hakupiga kipindi akiwa rais saa hivi ndo mwenyekiti wa kitongoji ndo anajifanya mtu wa watu
Wamerakani wa kisasa wanaita Big drip.Mzee ananikosha sana kwenye kutupia,anawafunika mpaka wanawe kina miraji.Mzee anavaa vizuri sana sio kama M7
Ebu soma tena coment yangu na ulichokiandika hapa uniambie nimekosea wapi.Msiwe mnakurupuka ku comment humu JF vitu msivovijua mkuu utaonekana mjinga
JK HAJAANZA LEO HAYO MAMBO NENDA YOUTUBE KUNA VIDEO ZA TOKA BEFORE 2015 ANAINGIA SOKONI NA MKE WAKE KWA ULINZI KIDOGO TU ANANUNUA SAMAKI ANAMPA MTOTO HELA THEN ANASALIMIANA NA WANANCHI.HUYU MZEE HAYO NDIO MAISHA YAKE WALA HAJIVUNGI
Mkuu sikudhani na wewe upo hapo lumumba.Picha ya Magu akinunua Mapapai mara akinunua Karanga hujaziona mkuu?
Kwa hiyo mkuu mimi kuuliza hio mambo nimekua Lumumba.Mkuu sikudhani na wewe upo hapo lumumba.
Sasa JK akipiga picha ikasifiwa unataka na ya jiwe isifiwe ?
JK Toka kitambo tu mtu wa watu nyie vibaraka wa Magu, mtapata #Tabu sanaMsiwe mnakurupuka ku comment humu JF vitu msivovijua mkuu utaonekana mjinga
JK HAJAANZA LEO HAYO MAMBO NENDA YOUTUBE KUNA VIDEO ZA TOKA BEFORE 2015 ANAINGIA SOKONI NA MKE WAKE KWA ULINZI KIDOGO TU ANANUNUA SAMAKI ANAMPA MTOTO HELA THEN ANASALIMIANA NA WANANCHI.HUYU MZEE HAYO NDIO MAISHA YAKE WALA HAJIVUNGI
Mkuu. Lumumba ndio pekee hua wanaandika hivoKwa hiyo mkuu mimi kuuliza hio mambo nimekua Lumumba.
Wewe mkuu uko Bawacha au?
Teh mkuu,kwa hio mkuu we unapoiponda CDM unakuwa umehamia Lumumba mkuu?Mkuu. Lumumba ndio pekee hua wanaandika hivo
Mimi sipo kokote. Maendeleo hayana chama
Mimi hua naviponda vyama vyoteTeh mkuu,kwa hio mkuu we unapoiponda CDM unakuwa umehamia Lumumba mkuu?
Na mimi sijaponda mtu ila nimesema je,hawajamuona Magu nae akifanya kama JK?Mimi hua naviponda vyama vyote
Mkuu.Na mimi sijaponda mtu ila nimesema je,hawajamuona Magu nae akifanya kama JK?
Then nilichokosea hapo ni nini boss?
Mkuu.
Ulichokosea ni hapo kumuhusisha jiwe
Lazima ujue jiwe hata akijikata mguu autoe msaada kwa mlemavu bado hatutompongeza
Mzee anavaa vizuri sana sio kama M7