Ujumbe wa Jakaya Mrisho Kikwete kwetu sote wananchi

Picha ya Magu akinunua Mapapai mara akinunua Karanga hujaziona mkuu?
Tushazionaga hizo,Ila parameter ya ulinzi ni tofauti kwa vyeo tofauti,huyu ni mstaafu Mlinzi ni Kama witness wa anayoyafanya.Sio saw a na aliyemadarakani ulinzi ni ulinzi standby 100.
 
Aache unafiki mbona hakupiga kipindi akiwa rais saa hivi ndo mwenyekiti wa kitongoji ndo anajifanya mtu wa watu
Msiwe mnakurupuka ku comment humu JF vitu msivovijua mkuu utaonekana mjinga

JK HAJAANZA LEO HAYO MAMBO NENDA YOUTUBE KUNA VIDEO ZA TOKA BEFORE 2015 ANAINGIA SOKONI NA MKE WAKE KWA ULINZI KIDOGO TU ANANUNUA SAMAKI ANAMPA MTOTO HELA THEN ANASALIMIANA NA WANANCHI.HUYU MZEE HAYO NDIO MAISHA YAKE WALA HAJIVUNGI
 
Ebu soma tena coment yangu na ulichokiandika hapa uniambie nimekosea wapi.
Nimesema tangu amalize mda wake ndo amekuwa mtu wa karibu na watu au jamii inayo mzunguka.
Sasa hapo ilichonikosoa ni kipi
 
Msiwe mnakurupuka ku comment humu JF vitu msivovijua mkuu utaonekana mjinga

JK HAJAANZA LEO HAYO MAMBO NENDA YOUTUBE KUNA VIDEO ZA TOKA BEFORE 2015 ANAINGIA SOKONI NA MKE WAKE KWA ULINZI KIDOGO TU ANANUNUA SAMAKI ANAMPA MTOTO HELA THEN ANASALIMIANA NA WANANCHI.HUYU MZEE HAYO NDIO MAISHA YAKE WALA HAJIVUNGI
JK Toka kitambo tu mtu wa watu nyie vibaraka wa Magu, mtapata #Tabu sana
tapatalk_1533719038164.jpeg
 
Hana shida na mtu....

Team kuyumbayumba....aka team Misiba sisiem mpya, JK kukaa kimya hampati usingizi....hata mfanyeje JK ndo kipenz Cha Watanzania....Jiwe wenu endeleeni kumuongopea anakubalika....
FB_IMG_1531382016035.jpeg
 
Na mimi sijaponda mtu ila nimesema je,hawajamuona Magu nae akifanya kama JK?

Then nilichokosea hapo ni nini boss?
Mkuu.
Ulichokosea ni hapo kumuhusisha jiwe
Lazima ujue jiwe hata akijikata mguu autoe msaada kwa mlemavu bado hatutompongeza
 
Mkuu.
Ulichokosea ni hapo kumuhusisha jiwe
Lazima ujue jiwe hata akijikata mguu autoe msaada kwa mlemavu bado hatutompongeza

Hatutompongeza?Mlikaa lini kikao cha kupangiana namna ya kupost humu jf boss?

Mimi sio mlevi wa siasa kiasi hicho boss.

JK mwenyewe sikuwahi kumkubali na wala simkubali sasa,Magu mwenyewe akizingua namchana akifanya poa pongezi anapewa.
 
Back
Top Bottom