Ujumbe wa Freeman Mbowe wabadili wengi Houston

Jembe Mbowe usikatishwe na waliokwisha jifia akina Six ( Sita) ,huyo si size yako kumjibu
mtu ambaye leo hata akigombea uenyekiti wa wilaya kupitia chama chake hapati
Tuachie sisi tutaenda naye,kwani huko nako kweny magamba walishaanza kupata picha yake
ambayo walikuwa hawamjui vizuri.
HONGERA NA YOTE ULIYOYAFANYA HUKO HOUSTON,KAZI NZURI SANA.
 
This is very factual!

Education is the conerstone for libaration and transformation!
 
Back
Top Bottom