Ujumbe wa Fr. Kitima baada ya kushambuliwa: Hatutakiwi kuogopa kulipa gharama katika kusimamia haki

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
24,144
Reaction score
56,411
Boniface Mwabukusi. Rais na TLS ameandika kupitia ukurasa wake wa X:

"Nimemtembele Father Dr. Charles Kitima. Hakika lilikuwa shambulio baya lenye lengo la kudhulumu maisha.

Mungu ni mwema sana anaendelea vizuri.

Huu ni Ujumbe wake kwetu....

Lazima Tuwe Imara kusimamia masuala ya Msingi katika Taifa. Hatutakiwi kuogopa kulipa gharama katika kusimamia haki na Wajibu wetu kwa Taifa. Kila Mmoja atalipa gharama kwa kiasi chake na hilo lazima tuwe tayari. Tunapozungumzia mambo ya Msingi Kitaifa yanayotakiwa kurekebishwa ili uchaguzi ufanyike kwa haki tusiogope kulipa gharama.

Father Dr.Charles Kitima leo Tarehe 1 May 2025."
Screenshot_20250501-115411_X.jpg

Soma News Alert: - Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya
 
View attachment 3321709

Mungu ni.mwema
 
Thanks.

CCM imepoteza kabisa mvuto!
CCM imepoteza kabisa ushawishi!
Njia pekee kwa CCM kuendelea kuwa hai na kuendelea kushika madaraka katika Utawala wa nchi hii ni kwa kupitia kwenye kufanya Siasa za Propaganda za Vitisho Kama hizi za kuteka watu, kuua Watu, kuwashambulia na kuwapoteza wale Watu wenye ushawishi wanaokipinga Chama hicho. Nje ya Kuendesha Propaganda za Vitisho, kamwe CCM haiwezi kubaki salama na Wala haiwezi kuendelea kuwa hai, LAZIMA itakufa!

Utawala wowote ule uliofitinika na ambao upo mwishoni unakaribia kuanguka na kufa, huwa ni kawaida kabisa kutokea matukio mabaya Kama haya. Watawala huwa wanakuwa wameshikwa na kiwewe, wanaingiwa na hofu kubwa, kila Mtu mwenye Fikra mbadala na anayewakosoa au kuwapinga wanamchukulia kuwa ni Mhaini anayetaka kuwapindua.
Hali Kama hii pia iliwahi kumkumba aliyekuwa Rais wa Zaire (DRC) wakati huo akiwa madarakani, Hali ambayo ilimfanya amteke hata Mkuu wake wa Majeshi General Mahele na kisha kumuua kikatili Sana Kama nguruwe pori, Mobutu alimshuku Jenerali huyo wa Jeshi kwamba alikuwa anamsaliti na kuwaunga mkono Wapinzani wake wa kisiasa.
Kwa Hali halisi ya kisiasa na HAKI za binadamu iliyopo hivi Sasa hapa Tanzania, tutarajie kushuhudia kwa wingi sana Watu wengi sana wakikumbana na matukio mabaya kama haya ya kushambuliwa, kutekwa, kupotezwa na hata kuuawa kikatili.
 
Sio ccm woote, kuna kakikundi kadogo tu ka wafaidika wa utawala dhaifu wa sa100 hao ndo wako tayari kuua, kuteka nk
Kana hofu kitumbua chao kitaingia mchanga!
Hivi unategemea mtu kama bashite aka makonda na chalamila wataenda wapi huu utawala ukiondolewa.
 
Ni sahihi, jambo lolote Lina gharama, lazima ulipie Ili matokeo yapatikane.
 
Hakuna jambo lisilo na gharama

Na bahati mbaya hata yule unayemsaidia anaweza kukuhatarisha zaidi kwa maslahi yake

Mwenye masikio asikie
 
Thanks.

CCM imepoteza kabisa mvuto!
CCM imepoteza kabisa ushawishi!
Njia pekee kwa CCM kuendelea kuwa hai na kuendelea kushika madaraka katika Utawala wa nchi hii ni kwa kupitia kwenye kufanya Siasa za Propaganda za Vitisho Kama hizi za kuteka watu, kuua Watu, kuwashambulia na kuwapoteza wale Watu wenye ushawishi wanaokipinga Chama hicho. Nje ya Kuendesha Propaganda za Vitisho, kamwe CCM haiwezi kubaki salama na Wala haiwezi kuendelea kuwa hai, LAZIMA itakufa!

Utawala wowote ule uliofitinika na ambao upo mwishoni unakaribia kuanguka na kufa, huwa ni kawaida kabisa kutokea matukio mabaya Kama haya. Watawala huwa wanakuwa wameshikwa na kiwewe, wanaingiwa na hofu kubwa, kila Mtu mwenye Fikra mbadala na anayewakosoa au kuwapinga wanamchukulia kuwa ni Mhaini anayetaka kuwapindua.
Hali Kama hii pia iliwahi kumkumba aliyekuwa Rais wa Zaire (DRC) wakati huo akiwa madarakani, Hali ambayo ilimfanya amteke hata Mkuu wake wa Majeshi General Mahele na kisha kumuua kikatili Sana Kama nguruwe pori, Mobutu alimshuku Jenerali huyo wa Jeshi kwamba alikuwa anamsaliti na kuwaunga mkono Wapinzani wake wa kisiasa.
Kwa Hali halisi ya kisiasa na HAKI za binadamu iliyopo hivi Sasa hapa Tanzania, tutarajie kushuhudia kwa wingi sana Watu wengi sana wakikumbana na matukio mabaya kama haya ya kushambuliwa, kutekwa, kupotezwa na hata kuuawa kikatili.

amani inaenda kupotea kwa sababu ya uroho wa madaraka
 
Mung
Boniface Mwabukusi. Rais na TLS ameandika kupitia ukurasa wake wa X:

"Nimemtembele Father Dr. Charles Kitima. Hakika lilikuwa shambulio baya lenye lengo la kudhulumu maisha.

Mungu ni mwema sana anaendelea vizuri.

Huu ni Ujumbe wake kwetu....

Lazima Tuwe Imara kusimamia masuala ya Msingi katika Taifa. Hatutakiwi kuogopa kulipa gharama katika kusimamia haki na Wajibu wetu kwa Taifa. Kila Mmoja atalipa gharama kwa kiasi chake na hilo lazima tuwe tayari. Tunapozungumzia mambo ya Msingi Kitaifa yanayotakiwa kurekebishwa ili uchaguzi ufanyike kwa haki tusiogope kulipa gharama.

Father Dr.Charles Kitima leo Tarehe 1 May 2025."
View attachment 3321709
Soma News Alert: - Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbay

Boniface Mwabukusi. Rais na TLS ameandika kupitia ukurasa wake wa X:

"Nimemtembele Father Dr. Charles Kitima. Hakika lilikuwa shambulio baya lenye lengo la kudhulumu maisha.

Mungu ni mwema sana anaendelea vizuri.

Huu ni Ujumbe wake kwetu....

Lazima Tuwe Imara kusimamia masuala ya Msingi katika Taifa. Hatutakiwi kuogopa kulipa gharama katika kusimamia haki na Wajibu wetu kwa Taifa. Kila Mmoja atalipa gharama kwa kiasi chake na hilo lazima tuwe tayari. Tunapozungumzia mambo ya Msingi Kitaifa yanayotakiwa kurekebishwa ili uchaguzi ufanyike kwa haki tusiogope kulipa gharama.

Father Dr.Charles Kitima leo Tarehe 1 May 2025."
View attachment 3321709
Soma News Alert: - Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya
Mungu ni mwema kila wakati nimestaajibishwa saana na supersonic speed ya geshi letu kwa inteligensia yao ya hali ya juu ya kuweza kumkamata mtuhumiwa ndani ya masaa machachebaada ya tukio aluuu. ila pia nimestaajibishwa na "press statement"" yao jinsi ilivyoaandaliwa kitaalamu zaidi nafikiri mpo wengi mnaostaajabishwa na jinsi tukio hili lilivtotokea na kutolewa taarifa...hivi angekuwa amefanyiwa hizi Waziri mkuu wa Shekhe mkuu tusingeona twit ya Mama!!? au MiMi tu ndio sijaona....watu wana hasira kwa kweli...na NRNE
 
I visited Father Dr. Charles Kitima. Indeed, it was a brutal attack with the intent to take his life.

God is truly good—he is recovering well.

This is his message to us:

"...We must stand firm in upholding the fundamental issues in our nation.
We should not be afraid to pay the price for standing up for justice and fulfilling our duties to the country.
Everyone will pay the price in their own way, and we must be ready for that.

When we speak of fundamental reforms needed for free and fair elections, we should not fear paying the price...."

—Father Dr. Charles Kitima, today, May 1, 2025.
Screenshot_20250501-135314.png
 
Back
Top Bottom