Ujumbe wa Askofu Mwamakula

KASULI

JF-Expert Member
Aug 6, 2020
599
669
Leo katika pita pita zangu katika mitandao ya kijamii(Facebook) nikakutana na huu ujumbe kutoka kwa askofu Mwamakula ambao kwa namna moja au nyingine unafanana na ule wa Katuni ya Kipanya, binafsi nimeuona kama Fumbo. Natamani kufaham Askofu pamoja na Kipanya walimaanisha nini?? Waliotajwa ni Wakina nani? Nani anapaswa kurudisha hela za watu kwa kuwa sio mgombea tena...??

Nmeambatanisha na Jumbe zote mbili ili mwenye udavuzi wa ili adadavua

Karibuni
Screenshot_20210919-073323_Lite.jpg
 
Back
Top Bottom