Ujumbe wa Afande Sele kwa Bernard Membe

huyo ras njaa alidai akifa maiti yake ichomwe moto
sasa hiyo kazi ya kumchoma moto anampa nani Si ajichome mwenyewe Mbona Hana faida yeyote dunian hapa.
 
Membe yupo nyuma sana hajui Tanzania inaelekea wapi yeye bado yupo na akili zile zile za CCm ya zamani ndiyo maana yupo kama Ma Chadema sasa.
Maana nawaza kusafiri safiri tu, anawaza rushwa, anawaza ufisadi, anawaza siasa za mdomoni.
Membe aliwai kuingia 5 bora ktk kinyan'ganyilo cha uraisi hivyo anaona kama sasa anakaribia kabisa kuchukua uraisi kwani alibakiza kidogo.

Si vizuri wana wapinga maendeleo mungu anawaona mwambieni mwenzenu hari imebadilika sana tena sana ni ngumu sana yaani nchi imejengwa kwa gharama alafu aje apewe kirahisi asahau kabisa.
Hata akienda ACT kumkimbia raisi mwingine wa Tanzania Lisu wa CDM atakuwa ka ma Mrema, atakuwa kama Lowasa na atapata aibu tupu.
Afande Umeeleweka.
 
Oyoooo
tapatalk_1558685994870.jpeg
tapatalk_1555015339659.jpeg
 
"Kama Benard Membe anaamini anakubalika kwenye nchi hii basi atoke ndani ya chama chetu akaungane na wapinzani hadharani kuliko haya anayoyafanya akiwa bado bado mwana CCM, halafu tukutane kwenye uchaguzi 2020"
afande sele mpuuzi sana.ALIKUWA CHADEMA NILIMUONA TUBUYU 2014 AKIWA CHADEMA KUMNADI JOHN TEMBO BY ELECTION UDIWANI MOROGORO KATA YA TUBUYU.

THEN AKAENDA ACT,THEN CCM.

LEO ANAMPONDA MBOBEZI MEMBE.

AFANDE SELE NI MALA.Y.
 
Huyu si alkimbiwa na mk wke kwa sababu ya mimoshi na uchafu
Sasa leo eti anamkosoa membe
Huyu anatafuta kik mziki ushamtupa

Ova
 
Bangi acha iitwe bangi
Wewe hata ukijikomba vipi fahamu kuwa hata kupewa ka cheo ka kuwa ka mjumbe wa Uvccm hupati Ng’oo,!!!
 
Acha ujinga wewe! Mbona muasisi wa ccm alipinga maovu ya fisadi Mkapa akiwa ndani ya ccm?

"Kama Benard Membe anaamini anakubalika kwenye nchi hii basi atoke ndani ya chama chetu akaungane na wapinzani hadharani kuliko haya anayoyafanya akiwa bado bado mwana CCM, halafu tukutane kwenye uchaguzi 2020"
 
"Kama Benard Membe anaamini anakubalika kwenye nchi hii basi atoke ndani ya chama chetu akaungane na wapinzani hadharani kuliko haya anayoyafanya akiwa bado bado mwana CCM, halafu tukutane kwenye uchaguzi 2020"
Badilisha avatar hiyo
Tumechoka kuona mipaj@ hiyo kwanza

Ova
 
"Kama Benard Membe anaamini anakubalika kwenye nchi hii basi atoke ndani ya chama chetu akaungane na wapinzani hadharani kuliko haya anayoyafanya akiwa bado bado mwana CCM, halafu tukutane kwenye uchaguzi 2020"
Ww maisha sii mziki kila siku unatoa single, maisha sio kuhama chama. Mzazi anaweza kosea ila mtoto mtii hahami nyumba. Ipo siku baba anachoka unamsaidia
 
kweli membe ni kitisho,akikohoa bwana yule nawatu wake mapovu kibao,kama membe hawezi kushinda wanini kuhangaika naye
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom