Ujumbe wa Afande Sele kwa Bernard Membe

"Kama Benard Membe anaamini anakubalika kwenye nchi hii basi atoke ndani ya chama chetu akaungane na wapinzani hadharani kuliko haya anayoyafanya akiwa bado bado mwana CCM, halafu tukutane kwenye uchaguzi 2020"
Huo ujumbe ungefana zaidi kama angeutoa bila kuvuta bangi
 
"Kama Benard Membe anaamini anakubalika kwenye nchi hii basi atoke ndani ya chama chetu akaungane na wapinzani hadharani kuliko haya anayoyafanya akiwa bado bado mwana CCM, halafu tukutane kwenye uchaguzi 2020"
Aliyesema ndiyo yule aliyevua nguo jukwani

Ova
 
"Kama Benard Membe anaamini anakubalika kwenye nchi hii basi atoke ndani ya chama chetu akaungane na wapinzani hadharani kuliko haya anayoyafanya akiwa bado bado mwana CCM, halafu tukutane kwenye uchaguzi 2020"

Huyu hapa👇
IMG_20190710_081327.jpg
IMG_20190710_081322.jpg
IMG_20190710_081325.jpg
 
"Kama Benard Membe anaamini anakubalika kwenye nchi hii basi atoke ndani ya chama chetu akaungane na wapinzani hadharani kuliko haya anayoyafanya akiwa bado bado mwana CCM, halafu tukutane kwenye uchaguzi 2020"
Kwa nn atoke? Chama ni cha wanachama. Membe ni mwanaccm hana sababu ya kutoka anapambana humu humo. Huyu mvuta moshi inaonekana madhara ya moshi yameharibu akili yake
 
"Kama Benard Membe anaamini anakubalika kwenye nchi hii basi atoke ndani ya chama chetu akaungane na wapinzani hadharani kuliko haya anayoyafanya akiwa bado bado mwana CCM, halafu tukutane kwenye uchaguzi 2020"
Ujumbe wa mvuta bangi utatusaidia nini tusiovuta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom