Wewe ni punguani.Mkuu jibu hili kwanza
Kweli Yosefu ana baba wa will? Bibulia ni kama comedy store.
Mathayo tena yuko kazini!
Mtoza ushuru (Mathayo) aliandika ukoo wa Yesu, akisema: "Yakobo alimzaa Yosefu mume wa Mariamu, ambaye alimzaa Yesu aitwaye Kristo." (Mathayo 1:16)
Lakini Mathayo alisita moja kwa moja kusema Yosefu ndiye baba wa Yesu. Luka alikuwa makini zaidi, akijitenga na ushuhuda huo, akasema:
*"Yesu alikuwa na umri wa kama miaka thelathini alipoanza huduma yake. Alidhaniwa kuwa mwana wa Yosefu, mwana wa Heli."
(Luka 3:23)
Katika “Diatessaron” yake, jaribio la kuoanisha Injili, *Tatian mwenyewe alishindwa kupatanisha ukoo wa Mathayo na wa Luka.
Lakini ni nani ataweza, kama hakuna ukoo halisi? Hata majina ya babu wa Yesu ni tofauti
Je, Wakristo wanaamini kweli kwamba Yosefu, ambaye alikuwa na baba wawili tofauti, ndiye baba wa Yesu?
Ujumbe huu unahoji utofauti kati ya ukoo wa Yesu katika Injili ya Mathayo na Luka, na kuleta changamoto ya kueleweka kwa dhana ya Yosefu kuwa na "baba wawili" (Yakobo kwa Mathayo, Heli kwa Luka).
Mwenye kua na elimu zaidi na hili tafadhali tufafanulie bila kutusi au kudhihaki Imani nyingine.
Quote Reply
Report Edit
Kaamzishe mada yakoMkuu jibu hili kwanza

Jibu si inaingilia na mada yako ya kuonyesha lineage mkuu husiogope swali jibu TU, tukiwambia kwamba Bibulia imejaa madudu hamwezi kuitetea mnatuona kama Iblisi Sasa jibu Hilo acha kukuepa.Kaamzishe mada yako
Yaani Mimi nikuogope wewe ?😂😂😂Jibu si inaingilia na mada yako ya kuonyesha lineage mkuu husiogope swali jibu TU, tukiwambia kwamba Bibulia imejaa madudu hamwezi kuitetea mnatuona kama Iblisi Sasa jibu Hilo acha kukuepa.
Mkuu acha matusi jibu swali Yosefu ana Baba wawili kama bibulia inavo kinzana mathayo vs Luka hupi sahihi?Wewe ni punguani.
Unaacha kula nguruwe ili uende kuua mkristo upate malaya siku ukifa.
Hawakinzani, biblia sio Quran Mzee,Mkuu acha matusi jibu swali Yosefu ana Baba wawili kama bibulia inavo kinzana mathayo vs Luka hupi sahihi?
Anasikitisha sana kupoteza Roho ya watu wengi kiasi hicho hukumu Yao IPO juu yakeMudy anasubiria hukumu yake ,
Anasema hajui atafanywa nini yeye na wanaomfata
KWA AKILI YA KAWAIDA KABISA BIBLIA NI WAY BETTER THAT ULE UCHAFU QURANMkuu jibu hili kwanza
Kweli Yosefu ana baba wa will? Bibulia ni kama comedy store.
Mathayo tena yuko kazini!
Mtoza ushuru (Mathayo) aliandika ukoo wa Yesu, akisema: "Yakobo alimzaa Yosefu mume wa Mariamu, ambaye alimzaa Yesu aitwaye Kristo." (Mathayo 1:16)
Lakini Mathayo alisita moja kwa moja kusema Yosefu ndiye baba wa Yesu. Luka alikuwa makini zaidi, akijitenga na ushuhuda huo, akasema:
*"Yesu alikuwa na umri wa kama miaka thelathini alipoanza huduma yake. Alidhaniwa kuwa mwana wa Yosefu, mwana wa Heli."
(Luka 3:23)
Katika “Diatessaron” yake, jaribio la kuoanisha Injili, *Tatian mwenyewe alishindwa kupatanisha ukoo wa Mathayo na wa Luka.
Lakini ni nani ataweza, kama hakuna ukoo halisi? Hata majina ya babu wa Yesu ni tofauti
Je, Wakristo wanaamini kweli kwamba Yosefu, ambaye alikuwa na baba wawili tofauti, ndiye baba wa Yesu?
Ujumbe huu unahoji utofauti kati ya ukoo wa Yesu katika Injili ya Mathayo na Luka, na kuleta changamoto ya kueleweka kwa dhana ya Yosefu kuwa na "baba wawili" (Yakobo kwa Mathayo, Heli kwa Luka).
Mwenye kua na elimu zaidi na hili tafadhali tufafanulie bila kutusi au kudhihaki Imani nyingine.
Quote Reply
Report Edit
Sasa jibu yupi Iko sahihi, kwasabbu mtu hawezi kua na baba wa will jibu kibibulia sio hadeeth na hisia zako mkuu ushahidi wa maandiko ni muhimu sana.Yaani Mimi nikuogope wewe ?😂😂😂
Wala hakuna makosa hapo, Tena nimewahi kulielezea humu
Wasomi wa theologia wanajua hili
Kila injili imeandikwa kwa namna yake
Mathayo aliwaandikia Wayahudi ,hivo hata ukoo wa Yesu anarejea nasaba ya Daudi
Tofaut na Luka ,
Mathayo aliandika Injili yake kwa hadhira ya Kiyahudi, akilenga kuthibitisha kwamba Yesu ni Mwana wa Daudi kisheria, kupitia Yosefu kama mrithi wa kisheria wa ukoo wa kifalme. Kwa Wayahudi, urithi na haki za kifamilia zilipitia kupitia kwa baba wa kisheria, hata kama hakuhusika katika kuzaliwa kwa damu.
Ndiyo maana Mathayo anaanza ukoo wake na Abrahamu na kupitia mstari wa kifalme wa Solomoni hadi Yosefu, akionyesha uhalali wa Yesu kama Masiha kwa mujibu wa unabii wa Kiyahudi.
Luka, kwa upande mwingine, aliandika kwa hadhira ya watu wa Mataifa (wasio Wayahudi), na lengo lake lilikuwa kuonyesha asili ya kibinadamu ya Yesu na uhusiano wake wa kweli na wanadamu wote. Ndiyo maana Luka anaonekana kutumia ukoo wa Mariamu, akimtaja Yosefu kama “mwana wa Heli” kwa sababu katika mila za Kiyahudi mwana wa kiume wa mke alihesabiwa kama mwana wa baba mkwe. Heli alikuwa baba wa Mariamu, hivyo Luka anafuata nasaba ya Yesu kwa damu kupitia Nathan, mwana mwingine wa Daudi, badala ya Solomoni.
KAMA HAJAELEWA HAPA ACHANA NAE INAONESHA BADO HAJADANGANYWA VEMA NA MASHEKHE WAKEHawakinzani, biblia sio Quran Mzee,
Luka anafuata nasaba ya Yesu kwa damu kupitia Nathan, mwana mwingine wa Daudi, badala ya Solomoni.
Mathayo aliandika Injili yake kwa hadhira ya Kiyahudi, akilenga kuthibitisha kwamba Yesu ni Mwana wa Daudi kisheria, kupitia Yosefu kama mrithi wa kisheria wa ukoo wa kifalme. Kwa Wayahudi, urithi na haki za kifamilia zilipitia kupitia kwa baba wa kisheria, hata kama hakuhusika katika kuzaliwa kwa damu. Ndiyo maana Mathayo anaanza ukoo wake na Abrahamu na kupitia mstari wa kifalme wa Solomoni hadi Yosefu, akionyesha uhalali wa Yesu kama Masiha kwa mujibu wa unabii wa Kiyahudi.
Mkuu naona unajibu kwa jaziba na mhemuko huna ushahidi wowote, bibulia Ina kinzana mara kwa mara umetumia vigezo gani kupima.KWA AKILI YA KAWAIDA KABISA BIBLIA NI WAY BETTER THAT ULE UCHAFU QURAN
Uislam ni dini kanjanja iloletwa kwa kuokoteza okoteza maandiko toka upagani na kwenye hiyo hiyo biblia wamepita pia
Afu unasahau kuwa uislam unaimini INJILI pia hizo hizo walizoandika kina Mathayo😆😆😆
Mzee jitahidi kusoma vema acha kuokoteza mistari kama wazee wa uamsho agu kichwani zeroMkuu naona unajibu kwa jaziba na mhemuko huna ushahidi wowote, bibulia Ina kinzana mara kwa mara umetumia vigezo gani kupima.