Ubarikiwe sana kwa ujumbe mzuri katika jamii yetu hii, kikubwa ni kweli tunaweza kuishi kwa kadiri ujumbe ulivyo tufikia? au tutaishia kukupongeza na kuliacha hapa hapa jukwaani? tujitafakari na tujitambue pindi tunapo letewa jumbe ka hizi, ziwe chachu ya kuamsha uvumilivu na msamaha wa kweli toka rorhoni sio msamaha wa usoni tu. Tunakushukuru na kukuombea hekima zaidi ili uendelee kuwa na moyo wa kutukumbusha yale yalio mema.