Designated
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 426
- 1,090
Habari za Mei Mosi.
Unapata maana gani au/na mafundisho gani kwenye picha hizi.
Unapata maana gani au/na mafundisho gani kwenye picha hizi.
Mkuu pia unaweza kuelezea hizo za chini.Duu nmeelewa mbili tu za chini hebu nifafanulie za juu
Madrasa wanalawitiwa ila kanisani wanatembelewa na roho mtakatifu ahahaha kitendo kimoja majina tofautiPicha ya chini kulia; Dini imekua mwamvuli wa kulawiti watoto wa kiume.
Mfano mtoto anapelekwa madrasa kumbe mwalimu wake anamfanya vibaya.
Mtoto anaumia kimya kimya; hakuna wa kumwambia, au hakuna anayemuuliza. Wazazi tuwe makini na tuwe karibu na watoto wetu.
Kwa ujumla ni dini, hata picha yenyewe imetumia msalaba. Mi nimetoa mfano tu; sina maana ni dini ya kiislamu pekee. Labda nimeshindwa kutoa mfano mzuri.Madrasa wanalawitiwa ila kanisani wanatembelewa na roho mtakatifu ahahaha kitendo kimoja majina tofauti
Moja anaingiliwa na kupoozwa kwa pipi na mwingine anaingiliwa na kiongozi wa dini.Picha ya chini kulia; Dini imekua mwamvuli wa kulawiti watoto wa kiume.
Mfano mtoto anapelekwa madrasa kumbe mwalimu wake anamfanya vibaya.
Mtoto anaumia kimya kimya; hakuna wa kumwambia, au hakuna anayemuuliza. Wazazi tuwe makini na tuwe karibu na watoto wetu.
Kwa kufuti sana ila nimekuelewa.pesa, mapenzi, dini, pipi(chips na vitamu vingine) vimekuwa vikitumika kuwaumiza wengine huku wakifungwa midomo wasiseme na kubaki wakiumia ndani kwa ndani
Ise jf sasa imekua too much mambulula wao kila kitu wa nataka kukibadili kuwa uwanja wa matusi na mabishano so sad gt waapungua nanmambulula kuongezekaMadrasa wanalawitiwa ila kanisani wanatembelewa na roho mtakatifu ahahaha kitendo kimoja majina tofauti
Nimejibu kutokana na mleta mada kutaja madrasa wakati hizo picha hakuna hata moja inayohusiana na madrasa hapo alitaka wachangiaji waanze kuukashifu uislam, sijihami ila mambo mengine yanakera sanaIse jf sasa imekua too much mambulula wao kila kitu wa nataka kukibadili kuwa uwanja wa matusi na mabishano so sad gt waapungua nanmambulula kuongezeka