JUU KUSHOTO
Inamwonyesha mwanaume hiyo inaonyesha ilivyorahisi kwa mwanamke mwenye pesa(shugamam) kumpata mwanaume.Kama mwanamke anapesa mwanaume haongei lolote
JUU KULIA
Inaonyesha mwanamke hiyo inaonyesha ilivyorahisi kwa mwanaume mtoa zawadi (shugadad) kumpata mwanamke.Kama mwanaume anatoa zawadi za kutosha mwanamke haongei lolote
CHINI KUSHOTO
Inamwonyesha bint....Hii inaonyesha ilivyorahisi kumteka bint kwa vijizawad(pipi,chips nk) na ukamfanya chochote akaishia kuvumilia(kutokusema) yale afanywiayo(mabaya) kwa sababu atakosa vijizawadi anavyopewa
CHINI KULIA
Inamwonyesha kijana Wa kiume.....Hii inaonyesha ilivyorahisi kumteka kijana wa kiume kwa kutumia dini zetu na ukamfanya chochote akiishia kuvumilia(kutokusema) yale afanyiwayo mabaya kwa sababu ya maneno yaliyogeuzwa na watu wanaotumika katika dini husika