Duh bitter to be swallowed, Mungu akupe wepesi, mungu anasikiliza nafsi yenye majuto, but its better ukamwomba msamaha personally then urafiki kati yenu uendeleeAnisamehe sana kwa kumuumiza vile, huku nilipo ni mateso tuu..natamani nirudishe muda nyuma nisimkosee tena lakini nd ivo haiwezekani. You're so missed Baby J
mkuu sema basi tu ngekuwekea picha zao hapa uone tofautiAcha kutuongopea mkuu, eti Mara 100000
Bwege we mi sina amani vyuma vimenikazia,tangu uniache sababu ya pedeshee sina amani,bby rudi plz na hata ukipata mwingine mungu anilipie na kweli nina kibamia ila ndo unitangaze nakuchukia ka joyce kiliaMy dear X,
Naamini haukuwa mpango wa Mungu tuishi pamoja, yote yanayotokea kwenye maisha yetu yana sababu.
Sisi ni binadamu, tuna mapungufu pia. Kuishi na binadamu yahitaji uvumilivu, busara na hekima pia. Hayo tulikuwa nayo kwa kiwango kikubwa lakini niseme haikuwa imepangwa tuwe wa kufa na kuzikana.
Mimi nina amani pamoja na yote yalotekea, naanimi nawe una aamani pia.
Mungu akupe wa kufanana nawe my dear X!!!
Daaah huyu jamaa hana bahat kabisa yaan anakuachaje kirahis hvyoMy dear X,
Naamini haukuwa mpango wa Mungu tuishi pamoja, yote yanayotokea kwenye maisha yetu yana sababu.
Sisi ni binadamu, tuna mapungufu pia. Kuishi na binadamu yahitaji uvumilivu, busara na hekima pia. Hayo tulikuwa nayo kwa kiwango kikubwa lakini niseme haikuwa imepangwa tuwe wa kufa na kuzikana.
Mimi nina amani pamoja na yote yalotekea, naanimi nawe una aamani pia.
Mungu akupe wa kufanana nawe my dear X!!!
Haaaàaaa sasa akienda je?"Mi ndio maji usiponinywa utanioga, usiponioga hata chooni utanitumia, usipontumia chooni utanifulia nguo zako nenda mwanakwenda", hapa still unampenda but unajifanya mwache aendee [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Mkuu umeamua utunge wimbo kabisaaaaBwege we mi sina amani vyuma vimenikazia,tangu uniache sababu ya pedeshee sina amani,bby rudi plz na hata ukipata mwingine mungu anilipie na kweli nina kibamia ila ndo unitangaze nakuchukia ka joyce kilia
HahahaBwege we mi sina amani vyuma vimenikazia,tangu uniache sababu ya pedeshee sina amani,bby rudi plz na hata ukipata mwingine mungu anilipie na kweli nina kibamia ila ndo unitangaze nakuchukia ka joyce kilia
Inabidi tukubaliane na matokeo my kaka!!Daaah huyu jamaa hana bahat kabisa yaan anakuachaje kirahis hvyo