Ujumbe murua wa Fatma Karume kwa Watanzania

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,955
95,277
Mtoto aliyekulia kwenye ikulu, asiyejua adha ya kupanda daladala wala chai maharage kwa Zanzibar, asiyejua adha ya kurudishwa nyumbani sababu ya kukosa ada ya shule.

Leo hii ndiyo wa kwanza kuikosoa CCM. Inakuwaje wewe mwenzangu na mimi kajamba nani unaipaisha na kuisujudia CCM? Imekufanyia nini zaidi ya ilivyomfanyia huyu binti?

Watanzania tuamke sasa baada ya kuusoma ujumbe wa shangazi hapo chini.

Screenshot_20200512-222121.jpeg

In God we Trust
 
Mwenzako kakulia ikulu lkn leo haitaki ccm wewe usiye na uhakika wa kesho utakula nini unaanzaje kuishabikia ccm?

In God we Trust
Namshukuru MUNGU wangu kwa kunijaaliya neema ya akili na ufahamu na kuweza kupata kipato changu Cha halali kinacho nilisha Mimi na familia yangu na sikumbuki Kama niliwahi kulala njaa na nadhani sitakuja kulala njaa,na nashukuru MUNGU sijawa mmoja wa misukule sijui mwenzangu hizi nyuzi zako huwa Ni hasira za kukosa uhakika wa kula au ni usukule tu unakusumbua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom