Ujumbe muhimu sana kwa wanaume na wanawake!!

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
WANAUME:Ulimwengu huu ukifanikiwa kupata Msichana anayesema 'I love you too' huku ameimaanisha halafu hakuombi hela hata kidogo shukuru Mungu halafu anza kutafuta hela ya Mahari!
Wanawake asilimia 90 wote wanaamini Mwanaume ni SIM Banking,yaani wanaclick tu wanategemea ucheue Muamala,mwanamke anafanya kazi,anaishi kwa wazazi lakini hiyo mizinga utadhani ana tenda za kusambaza ngano jeshini,wote tunafanya kazi kwanini uniombe hela??Ina maana mimi ndo sina matumizi unayo wewe tu??Mshahara wake anapeleka wapi??Ndo maana wanaume wengi maendeleo hawana,kila kidogo tunachopata kinafungwa mrija wa kutiririsha kwa Mwanamke fulani!
Girls,tuoneeni huruma,Boxer zetu hazina ATM kwamba ukibonyeza button tu upewe hela,na sisi tunazitafuta kama nyie!!
 
itabidi hili nalo la kuombana pesa liiingizwe kwenye katiba, sio bure ni muhimu sana
 
sasa wale wanaokuja kwa kuhonga mapesa unafanyaje si unabofya tuuuu jaman
 
Unachosema kipo ndiyo, lakini sio wote mkuu, inategemea pia na wewe gia uliyotumia kuingia na vile ukiona hivyo ujue huyo hakupendi hata chembe, so ni wewe tu na akili zako sasa.

Ukipenda kutoa endelea maana sidhani kama kuna mtu anakulazimisha ama kuja kuzitoa mfukoni kwa nguvu,ila ni wewe mwenyewe haijalishi ni moyo wa dhati ama kwa kinyongo ukweli unaujua wewe na Mungu wako.
 
kwi kwi kwi kwi siku ya wanaume duniani ni lini nikusaidie kubeba mabango........maana kilio chako kitawafikia wengi.
 
WANAUME:Ulimwengu huu ukifanikiwa kupata Msichana anayesema 'I love you too' huku ameimaanisha halafu hakuombi hela hata kidogo shukuru Mungu halafu anza kutafuta hela ya Mahari!
Wanawake asilimia 90 wote wanaamini Mwanaume ni SIM Banking,yaani wanaclick tu wanategemea ucheue Muamala,mwanamke anafanya kazi,anaishi kwa wazazi lakini hiyo mizinga utadhani ana tenda za kusambaza ngano jeshini,wote tunafanya kazi kwanini uniombe hela??Ina maana mimi ndo sina matumizi unayo wewe tu??Mshahara wake anapeleka wapi??Ndo maana wanaume wengi maendeleo hawana,kila kidogo tunachopata kinafungwa mrija wa kutiririsha kwa Mwanamke fulani!
Girls,tuoneeni huruma,Boxer zetu hazina ATM kwamba ukibonyeza button tu upewe hela,na sisi tunazitafuta kama nyie!!

mwana na wamatombo pia wanabofya na kutaka umwage pesa? aibu
 
Back
Top Bottom