Abu_yazid
JF-Expert Member
- Mar 28, 2014
- 3,435
- 4,255
Huyu hawezi kuja kujenga familia bora yenye maadili mema na hofu ya Mungu, akiweza kivaa kimini basi anaweza vaa chupi hata tight na akatembea bila kujali..Leo kuna sehemu nimeshuhudia hii kitu,inaathiri vipi katika ndoa
Mfano kaa mbele ya mtu aliyevaa kimini akiwa amekaa, ukiwa makini kumtazama waweza jua rangi ya chupi aliyovaa