Mkuu utafiti mbona ipo wazi! Pamoja na kuwa na bustani (shamba) la mauaridi bodo yupo na mawazo na hana furaha... Lakini wapo watu wengine akipewa au kuwa na uaridi moja tu hujawa na furaha isiyo kifana...
Bado inaweza kutafsirika kwa namna tofauti pia ... Mf . " kwenye miti mingi hakuna wajenzi.." nk.
Furaha hailetwi na wingi wa mali (pekee)
Usiposhukuru kidogo hata ukipewa kingi hutoshukuri (ipasavyo)
Da! Nimeipenda hii. Inaendana na wale dada zetu wakataao wachumba tele au wajilimbikiziao mabwana tele hata hivyo furaha au amani hukosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.