Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,682
- 45,597
Mimi najua maana yake...lakini sio kwako wewe😂napenda sana kuchimba chimba vitu vya zamani ungejua umri wangu na hio picha ungenipa hongera lakini kunawazee humu hawaijui Nipigie makofi huko
Ulikuwepo enzi za hio staili usijekuta wajuzi ila unajitajidi kuchimba chimbaMimi najua maana yake...lakini sio kwako wewe
😝😝😝😛Ulikuwepo enzi za hio staili usijekuta wajuzi ila unajitajidi kuchimba chimba
Sasa basi kama mnataka kudekezwa maisha yote msizae watoto.Si wanaume tunapenda kudekezwa kama watoto,sasa mama akishakuwa na watoto mapenzi yanahama...unajikuta unatafuta wa kukudekeza ingawa kuna garama pia.Lakini ndio maisha..
Watoto wanaumuhimu mkubwa sana hasa miaka inavyokimbia...inabidi kuchepuka tu kwa akili bila kuleta madharaSasa basi kama mnataka kudekezwa maisha yote msizae watoto.
Au ndio ivyo chepuka fanya kama nilivyokwambia
Unawashauri wanaume tena kama unawajua kuliko wanavyojijua.
Kwa taarifa yako mwalimu wa mapenzi wa mwanaume ni sehemu zake za siri na sio mwanamke na kwa msaada zaid mwanamke anaweza kumsadia mwanaume kwenye maombi tu tena ukimuomba kwa adabu na unyenyekevu aliyemuumba mwanaume amdhibiti kiumbe wake na sio hata mzazi wake.
Yaani kabisa unatoka mbele kabisa kuwashauri wanaume kuhusu wanawake?? Mwanaume hashauriwi kuhusu mapenzi ila matokeo ya mapenzi ndio mwalimu wa mwanaume.
maisha sio fair kila siku ninasema kama maana nishasoma uzi hapa hapa wanawake wakawa wana sema wanawapenda sana wanaume waliokwisha kuwa kwenye ndoa eti wanajua kucare na hawana usumbufu na inafikia hatua hadi wanajitongozesha sijui sisi binadamu tunakwamaga wapi ila kama tungekua tuanjua thamani zetu haya yote yasingetokea
Kwani tunagombana basi
Wewe
Kama unajilisha upepo jilishe tu kwa amani.
inaonekana umetudharau kweli,eti haya unadhani yanaelewaga kwaniHaya unadhani yanaelewaga kwani
its win win the same pia sisi tunawaitaga hivo hivoinaonekana umetudharau kweli,eti haya unadhani yanaelewaga kwani
hapo unatuwakilisha wengi mkuu,big up sanaUshauri mzuri;kwa tunaojielewa huwa tunaakikisha 3/4 ya mapato ni kwa bi mkubwa pamoja na maendeleo,na 1/4 ni kwa michepuko na starehe,na mchepuko ili ufaidi matunda yangu lazima nimjaze tumbo (wako wawili tu);kuhusu kulogwa,nilishawaambia watu wangu wa karibu pamoja na bi mkubwa,kama nitakuwa tofauti kimaamuzi,inabidi waingie kazini.
Hahahahaha........umenifanya nicheke kama mwehu eti "mama Afghanistan" huyu anapatkana WAP?Wengine wanachepuka mpaka wanahama kabisaa na mji,.siku mambo yameenda alijojo unamuona huyo anarudi kwa mkewe kanyonyoka hana hata mia mfukoni,.ukurutu na kupe vimemganda mpaka kwenye kope,.hapo utamsikia "wewe ni mke wangu hata iweje nisamehe tuu" kirahisirahisi tuu chee...ukimpokea ukampikia uji wa lishe siku 2 tuu huyoooo kwa mama Afghanistan tena..lol...wanawake mnaovumilia huu ujinga in the name of ndoa aseee mtahitaji tuzo za Nobel..na nahisi mtakuwa na pepo ya pekeenu mbinguni.
Ndio kama hivyo aiseee, sisi hatushauriwi ila tunaosaidiwa kuomba dua kwa aliyetuumba atudhibiti.
Na pia kuchepuka mkeo asijue.Ukiwa njiani kutoka kwa mchepuko unapiga lucozade boost , Unakuwa new again Mke unampa vyake sita .kunasehem uliposema kuwa mchepuko unapaswa usitume sms ukiwa na mke wako ,hapo ndo nimeelewa na ndo uwa nafanyia kazi.