Ujumbe kwa wanaume

Huyo mtoa maada sio kwamba haja olewa, sema tu,
KILA ANAYE KULA MZIGO, ANADHANI KAMPATA WA KUMUOA, kumbe sivyo......!
Wakianza stories anaambiwa mim ninamke wewe tafuta wako,
SASA KAONA UMRI UNAZIDI KWENDA, AMEAMU KULETA UZI HUMU, ILI APUNGUZE JAZBA ZAKE......!
 
yani wewe
 
Mwanzishaji uzi.
Nilifikiri utakemea kabisa tabia ya uchepukaji au kutembea nje ya ndoa au kwa jina lingine lisilopendwa kuzini. Kumbe umeamua kuita jina jingine ambalo linapunguza ukali wa maneno.

UKWELI ambao mara nyingi hausemwi sana ni kwamba wapo wanaume wengi tu ambao hawachepuki na hawana tabia ya kuchepuka.

Ni sawa na watu wanavyosema siku hizi hakuna akina dada bikra, lakini ukweli wapo wengi tu wanaoolewa wakiwa bikra.

Kila mume awe na mke wake, na kila mke awe na mume wake BASI.
 
Mkuu umekosea kabisa yani,tena ukichunguza hapo nmewatetea wake wa ndoa. Ningekua mchepuko ningejitetea mimi mwenyewe.
Halafu mkuu wangu mimi niko hivi haijalishi mimi nafanya sawa au sio sawa ila sikuzote ntasimamia ukweli. Na ukweli ndio huo
 
Ntawakemea nini sasa mkuu,si ntajijaza hasira tu watu wazima waliofikia kuoa kuishi na wake ni watu wanaoelewa zuri na baya
Sasa mimi ntawakemea nini ndugu yangu?
Wacha wajilishe upepo siku moja watakaa chini waseme mambo yote ni ubatili mtupu,hakuna tulichopata
 
nimejitahidi kuelewa ila imeshindikana....umeandika kama unakimbia...punguza munkari andika vizuri ueleweke mzee mwenzangu
 
Mkuu umekosea kabisa yani,tena ukichunguza hapo nmewatetea wake wa ndoa. Ningekua mchepuko ningejitetea mimi mwenyewe.
Halafu mkuu wangu mimi niko hivi haijalishi mimi nafanya sawa au sio sawa ila sikuzote ntasimamia ukweli. Na ukweli ndio huo
Acha kuhadithiwa, OLEWA UJIONE MWENYEWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…