Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
Tunaposema mtu anajali tunamaanisha
anasimamia show muhimu kama kumtoa
out, hela za barbershop,
mavazi, vizawadi vya hapa na pale, perfume na
mambo kibwena... sasa wewe mwenzangu kujali
unadhani ni kujiunga extreme na kuanza
kummiminia mimeseji kuanzia asubuhi had ucku,
mara bebi umekunywa chai? umevaa nini? bebi
umeshakula lunch? beb umelala?, beb mbona
kimya?
wenzio wanatuma hela mpesa au Tigo pesa then
msg inafuata ''beby nenda kale'', kwa style hii
ukiachwa kuwa
mpole.

Kabla ya kuendelea na comments, wewe mleta mada ni me au ke?
Jamani kwa mtindo huo si tutawaua hao wanaume au hela zao hazinaga kazi eeeh?
word,much blessings your way!
Jamani kwa mtindo huo si tutawaua hao wanaume au hela zao hazinaga kazi eeeh?
Hivi unadhani machanguduo huwa wanajua thamani ya hela ya mwanaume?
Wao zao ni kutumbua tu, na mwanaume akiishiwa wanahamia kwa mwingine...
Ni kama kipepeo vile asivyoweza kutulia kwenye ua moja, akishafyonza kila ua na pindi amalizapo ule utomvu wenye sukari hupepea zake...