Ujumbe kwa wanaume wanachuo

Ujumbe kwa wanaume wanachuo

Tamalisa

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
2,542
Reaction score
907
Habari

Kwa wale wanaume wanachuo wote ambao wamepanga na wamechukua mabinti za watu wanachuo na kuishi nao. tunaomba muwe wastaarabu na wenye huruma, watoto wa watu wamekuja kusoma nyie mnawafanya wake zenu,wanawapikia, kufua, kudeki na hata kuwaogesha, lakini bado mnawanyanyasa kwa kuwapiga utafikiri mmeshaoa kabisa.

Akichelewa tu kurudi kosa vibao na mateke, akisema leo sitaki naniliii vibao na kumlazimisha, yani mnapiga kama vile mmeshalipia mahali. mnasababisha hata maendeleo kimasomo kushuka.Tafadhali jamani msiwanyanyase kuweni na huruma au msubiri kuja kuwapiga wake zenu.

Kinachosikitisha zaidi mnawapiga na mkimaliza chuo ndio imetoka hiyo eti unaenda kutafuta mke mwema mbele ya safari vibaya sana,sijabuni nimeona sana jinsi wadada wanavyonewa.

Be kind you men.
 
we jamaa umeniwahi ndio nlikua naandka hyo comment
 
real touching, nimeshuhudia hili kwa macho yangu!sio kusimuliwa,
 
Kweli hiyo kitu mbaya sana, ajabu mwanaume mwaka wa 3 bint mwaka wa kwanza, anamuoa weeeeee mwaka ukiisha yeye anandoka na kwenda kuanzisha mahusiano mapya uraiani bint anabaki na stress, waoneeni huruma mabint kwa kweli.
Mabint nao waache kiherehere, mtu kuonana chuo sehemu ambayo unakaa kwa muda mfupi sana, haraka unahamia kupika na kupakua, muda wa kusoma anapata wapi??? mwenzie anasoma yeye anapika na bado ucku agawe unyumba, asubuhi tena atoe unyumba ndio aingie darasani kisa cha kujishosha bint mdogo ni nini.
 
Weehhh mimi ningeona hivyo kwanza kitendo cha kujua hawa wanasoma then anampiga ni kwenda polisi kutoa taarifa.
Wanapoteza hela za wazazi wao, wazazi wanataabika wao wanafanya fanya mapenzi hovyo.

Mnatakiwa na nyie mnaoona hivi muwe na upendo.Turudie maisha waliokuwa wanaishi wazazi wetu enzi hizo...Tufanye mtoto wa mwenzio kama wako.Chukua hatua
 
sasa na wew mdada ulienda chuo kusoma ama kuwekwa kinyumba....? safi sana kwa wanaume wanaofanya hivyo......maana wanachukua nafasi za baba zao kuwapiga vibao kwa upuuzi wanaoufanya.......na muwanyanyase mpaka wakumbuke kilichowapeleka chuoni......
 
Tuacheni tufadi jamani kama ukiwatongoza hawakatai sasa shida ya nini ya kufua, kupika na papuchi ,, tena ukikapata ka certificate ndiyo kazuri zaidi
 
Kwan si wanataka wenyewe nikiwa kama waziri wa mapenzi nasema na wapigwe maana tumechoka wakiwa wabishi na hawajui kilichowapeleka chuoni na muwapige tuu maana niwabishi
 
sasa na wew mdada ulienda chuo kusoma ama kuwekwa kinyumba....? safi sana kwa wanaume wanaofanya hivyo......maana wanachukua nafasi za baba zao kuwapiga vibao kwa upuuzi wanaoufanya.......na muwanyanyase mpaka wakumbuke kilichowapeleka chuoni......

you can say that again
 
sasa na wew mdada ulienda chuo kusoma ama kuwekwa kinyumba....? safi sana kwa wanaume wanaofanya hivyo......maana wanachukua nafasi za baba zao kuwapiga vibao kwa upuuzi wanaoufanya.......na muwanyanyase mpaka wakumbuke kilichowapeleka chuoni......
Waambie Sister, waache kiherehere
 
Ulitakiwa useme "ujumbe kwa wanavyuo wa kiume" na si wanaume wa vyuoni mnapoandika ni vizuri mzingatie pia na matumizi ya lugha yetu ya kiswahili
 
Kwa nini wanakubali kujihusisha na mapenzi, kama wanajua wameenda kutafuta elimu ya juu watulie basi. Ushamba ndiyo unaowasumbua wanavyuo wengi.
 
Hao wadada wanataka wenyewe,..tutaendelea kuzitafuna papu ..zao!
 
Kwanza kwa nini unakubali kuwa na mahusiano na mwanafuzni mwenzako,wakt wote mnaishi kwa nguvu ya boom??pili,kwani umelazimishwa kuwa katika mahusiano ya nmna hiyo??tatu,kwani ukiishi katika hostel au chumba chako mwenyewe kuna tatizo gani na muwe mnakutana guest huko??tatizo siyo shetani wala hao wavulana tatizo ni wewe mwanamke husika...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom