Ujumbe kwa wanaotafuta kuoa/kuolewa

Ujumbe kwa wanaotafuta kuoa/kuolewa

[emoji28][emoji28][emoji28]day!
Ukizoea Vitu vya mtumba hutajua vitu vipya vinapatikana wapi na kwa namna gani.

Mke Wako mtumba.
Nguo Mtumba
Nyumba Mtumba
Gari mtumba
Watoto wako mtumba.

Maisha yako ni mtumba. Kama hutanielewa leo basi utanielewa badae.
 
Well that isn't a SI unit for every marriage, there is a lot of dumb ass broke men out there.
 
Swala la kuoa au kuolewa Ni simple tu sema vimbelembele wamekuwa wengi ..

Ukiwa mwanaume tafuta mwanamke chagua kwa vigezo vyako, chagua unavyoweza chagua tena, ukipata sahihi oa fanya wajibu wako km mume.

Ukiwa mwanamke punguza KIMBELEMBELE narudia tena punguza KIMBELEMBELE na kushoboka hovyo, kaa kwa kutulia pendeza,tengeneza haiba ya kike nzuri kaa kwa kutulia.Wanaume watakufuata watakutongoza kazi yako Wewe Ni kumtathimini huyo mwanaume Je anakufaa au hakufai kwa vigezo vyako binafsi?then kubali au kataa Basi....

Kinachotokea sasa mwanamke ndo anataka kuchagua mwanaume hlf akimaliza anaanza kushoboka halafu Anat*mbwa halafu anang'ang'ania mwanaume mpk mwanaume anasema isiwe tabu ngoja nimuoe tu baada ya mtoto wa kwanza ndo mwanaume anagundua sikuwa na malengo nae huyu mtu yaani mwanamke ndo alimchagua mwanaume na sio mwanaume kumchagua mwanamke... Hapa ndo na upuuzi wa kutohudumia familia unaingia.

Katika mahusiano yangu yote wanawake walionipenda wenyewe nilipiga nikaacha, niliodumu nao Ni wale kwa akili zangu timamu niliwafuata,nkatongoza,.

Udhungu na tamthilia zinawaharibu mwanaume akikupenda atakutongoza, ukiona anakuchekea ujue anakuchora tu pengine anajisemea haka kanavyoshoboka nitakagonga nikaache kaumie bure we unadhan anakuogopa,mi nawachoraga tu mtu kakuona siku hiyo hiyo anashobokaaaaa Ni either nikuoneee huruma nikupuuzie,ukasema mi domo zege au nikugonge nikuache bahati mbaya sana nawaoneaga huruma wengi wao.
 
Wala sijawai waza eti tuanzie chini mana najua mwisho wa siku ntaumia tuu ndoani so sitaki kuumia zaidi kwa kuumizwa na mtu nilieanza nae mbali afu anakuja fanya upuuz..hahaa ntalipua mtu kichwa mimi.
 
Acha kujifariji

Tafuta kazi wewe graduate,

Acha kuwaza ngono, ngono ipo tu
Jana nimekutana na binti mmoja! Binti ambaye miaka takriban kumi na mmoja iliyopita alifunga ndoa ambayo nilishiriki kwa 100% lakini baada ya mwaka na nusu ndoa ile ilivunjika!!

Sikujua ni nini kilisababisha sababu hatukiwa na mawasiliano thabiti mpaka jana ndipo kanipa story halisi! Kwangu nimehisi hii story yaweza kuwa ujumbe murua kwa vijana mnaotaka kuoa na kuolewa!!

Kwa madai yake! Ndoa yake ya kwanza ilivunjika sababu za ulimbukeni wa maisha na mali alizomkuta nazo mumewe!! Aliolewa na kijana ambaye tayari alikuwa anamiliki nyumba nzuri na gari nzuri kwa wakati huo na miradi kadhaa yeye alijua michache tuu!!

Kama mke alijikuta hana say ya hizo mali, mume ana mdharau, hamjali kihisia japo kimwili alimpa kila kitu!

Mbaya zaidi mume hakuwa muwazi kwa shughuli zake za kichumi na alikuwa anaondoka na kurudi muda wowote hata iwe saa kumi na moja alfajiri na hataki aulizwe wala kutafutwa kwa simu!! Kifupi mienendo, mali na shughuli za mume yeye zilikuwa hazimuhusu kabisaa kitu ambacho kama mke hakukubaliana nacho!

Na kero nyingine nyingi ila kifupi alimkuta jamaa tayari ana system ya maisha yake ambayo ilishampa mafanikio hivyo hakuwa tayari kubadilisha baadhi ya system kwa kuijali ndoa yake. Mume akawa anaishi kama bado hajaoa na hajali kama kuna mtu wa karibu yake mwenye wajibu kujua mienendo yake ya kila siku.

Binti akaona ujinga huu, mbona mi nimeacha yangu kwa ajili yake then yeye hataki kuondoa yanayonikirihisha!? Akaondoka kwa kuaga kuelekea Arusha!! Then alipofika huko akatoa taarifa ya kutokurudi tena ndoani!!

Baada ya mwaka mmoja wa kutafutana bila mafanikio akarudi kudai talaka yake ndoa ikafa rasmi!!

Aliamua kupambana na ujasiria mali huku akitafuta ajira, akawa pia na kanuni mpya ya kupata mume!! Asiwe tayari na mafanikio [emoji44][emoji30][emoji23].

Baada ya miaka kadhaa akapata kijana mwenzie ambaye hakuwa na maisha pia ila alikuwa na elimu na maono!! Wakaanza kupambana pamoja na kufunga ndoa yao!

Actually nilionana nae for the first time siku tatu nyuma tukapanga kuonana jana!!

Jana nilipoonana nae, anasema kwa sasa ana nyumba kadhaa magari kadhaa waliyonunua pamoja na mumewe pamoja na miradi midogo midogo huku wote wakiwa waajiriwa tayari!! Anaheshimika kama mke, kama mama wawili na hisia zake zinalindwa!!

Tuliongea mengi lakini mwisho nikataka kujua mtazamo wake kuhusu ndoa! Nikamuuliza, Unawashauri nini wanaotaraji kuoa na kuolewa!!

Alisema!! Better kuingia kwenye uhusiano na mtu mkaanza maisha pamoja kuliko kukimbilia mahusiano na mtu mwenye mafanikio tayari ambaye keshajijengea mifumo ya maisha yake ambayo huwezi kumbadilisha, mali zake hazikuhusu ndo ile ukigusa kitu anakwambia unajua thamani yake hiyo??

Nikawaza vijana hawa wanaokimbilia ndoa kwa wenye nazo! Lakini mwisho wa siku kila mtu na bahati yake!!

Vijana mpo? Experience matters ndiyo hii sasa, mzoefu katoa yeke. Nauleta ujumbe kwenu watarajiwa mchanganue na kupima vyema mahusiano yenu pengine unaweza kujikuta unarekebisha mahali!!
 
Acha kujifariji

Tafuta kazi wewe graduate,

Acha kuwaza ngono, ngono ipo tu

Vijana kweli mnakosa nidhamu, nimeajiri wenzio kadhaa!! Degree yangu ya kwanza ina miaka 12 sasa pambaf!

Kuna mahali umeona nimeandika chochote kinachoashiria ngono hapo? Ndoa kwako ni ngono??
 
Asipokuelewa leo atakuja kuelewa maelezo yakiwa ni mtumba
Ukizoea Vitu vya mtumba hutajua vitu vipya vinapatikana wapi na kwa namna gani.

Mke Wako mtumba.
Nguo Mtumba
Nyumba Mtumba
Gari mtumba
Watoto wako mtumba.

Maisha yako ni mtumba. Kama hutanielewa leo basi utanielewa badae.
 
Bila kusahau na yeye mwenyewe pia ni mtumba

Whatever.

Ila ujue Mwanamke huna tofauti na bidhaa. Kama bei inavyoFluctuate duniani halikadhalika na bei yako.

Wewe kama huna bikra na hujaolewa hata Mizimu haiwezi kukuhitaji kwa sadaka. Wewe ni mtumba na utatambulika hivyo siku zote mpaka kaburini.

Bila bikra wewe ni malaya tuu. Haijalishi unauzuri kiasi gani. Haijalishi umesoma kwa kiwango gani.

Subiri wanaume wanaopenda kuvaa mitumba hao ndio watakuona wathamani. Wapenda vitu vilivyooza.
 
Basi tutafute pamoja halafu uchepuke .uende kwa mwingine muendeleze Maisha ..hapana kwa kweli..
 
Nimependa ulivyomalizia hapo mwisho kuwa kila mtu na bahati yake. Niwashauri tu wadogo zangu wasikariri na kuanza kumkimbia kila mwanaume mwenye mafanikio, wapo wenye mafanikio na nidhamu pia
 
Ndo na wanaume mjitunze sasa

Wee umechanganyikiwa kweli.

Ndio maana FaizaFoxy anawadharau Mabinti wa Kikristo kwa kusomea Ujinga.

Isikute wewe ni mwanamke na hujui hata maana ya mwanamke. Ndio maana hukujua maana ya bikra katika Papuchi yako.

Mwanaume ajitunze anatunza nini. Hata mbuzi mwenyewe hawezi fikiri kama wewe.

Bikra ni kama Sildi kwenye bidhaa kuonyesha mwanamke hajatumika. Mwanaume hana Sildi/ bikra kwa kuwa yeye ndiye mtumiaji.

Wewe ni kama nguo tuu huwezi muambia mvaaji awe msafi au aoge ili akuvae. Yeye ndio anaamua aoge au asioge. Yeye ndiye anaamua akuchukue wewe mtumba au ukiwa mpya.

Mtumba ni mtumba tuu.
 
OBSESSED NA BIKIRA DUUUH
 
Vijana kweli mnakosa nidhamu, nimeajiri wenzio kadhaa!! Degree yangu ya kwanza ina miaka 12 sasa pambaf!

Kuna mahali umeona nimeandika chochote kinachoashiria ngono hapo? Ndoa kwako ni ngono??
Msamehe bure. Jf watu wana stress sana
 
Whatever.

Ila ujue Mwanamke huna tofauti na bidhaa. Kama bei inavyoFluctuate duniani halikadhalika na bei yako.

Wewe kama huna bikra na hujaolewa hata Mizimu haiwezi kukuhitaji kwa sadaka. Wewe ni mtumba na utatambulika hivyo siku zote mpaka kaburini.

Bila bikra wewe ni malaya tuu. Haijalishi unauzuri kiasi gani. Haijalishi umesoma kwa kiwango gani.

Subiri wanaume wanaopenda kuvaa mitumba hao ndio watakuona wathamani. Wapenda vitu vilivyooza.
Kwa hiyo unapotongoza huwa unauliza? Hivi bikra zimebandikwa usoni?
 
ahahahahaaaa, kwa mantiki hiyo 99% wameoa mitumba

Mtu mwenye akili timamu hawezi chukua kitu cha mtumba wakati vitu vipya vipo.
Kuchukua mtumba ni moja ya dalili ya umasikini wa mali na akili.

Mke mtumba/Malaya
Watoto mtumba/Wazinaa
nguo mtumba
Ukoo wako mtumba/Zinaaa.
Nyumba ya mtumba/kupanga
Gari mtumba.

Maisha ya mtumba. Yaani mtu unatumia vilivyotumiwa na wengine. Huna la kwako hata moja. Hayo ndio huitwa maisha mabaya
 
Kwa hiyo unapotongoza huwa unauliza? Hivi bikra zimebandikwa usoni?

Yaani mwanamke awe bikra usimjue duuh! Kweli dunia imefikia pabaya.

Mkuu ukishazoea vya mtumba huwezi tofautisha na vitu vipya.

Mwanamke bikra anafahamika kuanzia anavyoongea, anavyotembea na anavyovaa. Sasa kipi kukifahamu.

Mtumba unafahamika pia.

Usioe Mwanamke asiyebikra.
Unaoa mtumba
unazaa mtumba
ukoo mtumba.

Pumbavuuuu
 
Sikubaliani na wewe, huwezi kumjua bikra kwa kumtazama
 
Back
Top Bottom