Usife moyo,umetenda lililo jema!
tufike mahali tukubali utofauti na tukubali kuwa maisha ni namna unavyoyaunda without kuangalia flani amefanyaje
Reality/truth is subjective and created, Imagine tungezaliwa ktk maisha ambayo wanaume ndio wanaovaa magauni, wanaotongozwa na kuolewa/kulipiwa mahari then wakaishi kwa mke......si tungekubalina na tungeona tu ni kawaida!! so tusikariri maisha ndugu,.... kwanza birthday ni nini? kuna watu kijijini wala hata haicount kwao kabisaYes ni kweli,wakati nasoma kometi za watu humu nimejiuliza mambo mambo kadhaa na mojawapo ni hili;Hivi tunadhani au kufikiri ni kitu gani hasa mtu anamaanisha anaposema anakupenda?Hapa ndipo penye ukurutu wa kukariri!
Reality/truth is subjective and created, Imagine tungezaliwa ktk maisha ambayo wanaume ndio wanaovaa magauni, wanaotongozwa na kuolewa/kulipiwa mahari then wakaishi kwa mke......si tungekubalina na tungeona tu ni kawaida!! so tusikariri maisha ndugu,.... kwanza birthday ni nini? kuna watu kijijini wala hata haicount kwao kabisa
hata baada ya kuelewesha?
Habari za muda huu,
Juzi ilikua birthday ya mpenzi wangu siku hudhuria, kuto kuhudhuria ndio ilikua surprise niliyo muandalia mpenzi wangu kwa birthday yake mwaka huu, naona reaction yake imekuwa strange.
so nimeamua kuandika haya kuwa omba kina dada msiwe na mawazo hasi kila wakati kama mpenzi wako hayupo na wewe haimaanishi yupo na mpenzi mwingine.
Naomba tujenge desturi ya kuaminiana Tafadhali.
kweli hapo kwenye swala la muda Passion LadyMh!kama unamuelewesha haelewi mpe muda ataelewa tu
Ni tatizo kwa kuwa hawa watu wamekariri suprise ni kufanyiwa mambo fulani tu na sio mambo yaliyo nje ya hapo