hhhhj
Member
- Oct 5, 2016
- 41
- 68
Hakuna anayepinga sekta ya elimu nimoja ya sekta muhimu sana ila ajabu nipale sekta hii kukosa ule mvuto nakukosa hadhi hasa upande wa umma.
Haiingii akilini wamachinga wapige kelele kidogo tu mkuu wa nchi aingilie kati kwa kuwakingia kifua kwa kisingizio hao ndiyo waliompa kura.
NYINYI WALIMU Si ndiyo mnaosimamia uchaguzi.
Si ndiyo mnalipa kodi kuliko machinga.
Si ndiyo mnaotegemewa kufuta ujinga.
Si ndiyo mlisema rais ni mwalimu au alikuwa machinga.
Walimu ndiyo watumishi peke yenu hamna posho.
Walimu ndiyo watumishi peke yenu mna waajiri zaidi ya mmoja.
Walimu ndiyo watumishi peke yenu hamna malipo ya muda wa ziada.
Walimu ndiyo mnaongoza kupigwa makofi kutolipwa stahiki zenu kwa wakati n.k.
Ila pamoja na yote hayo sijawasikia hata mkimuomba rais au waziri mkutane na kujadili.
Msije mkaniona mbaya ila ukweli CWT hamna mnachofanya mnanyonya wenzenu.
Nyie ndiyo mna sauti zao mmekaa kimya mnahangaika na benki sijui ndiyo itawaongezea mshahara au posho.