Ujumbe kwa Regia Mtema huko uliko

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
Kuna mtu amepost kwenye wall ya Marehemu Regia Mtema (RIP) Facebook: "Nakupa taarifa sasa Joshua Nassari amekuwa mbunge mteule wa Arumeru Mashariki..." Imeniuma kweli. Very touching.
 
Hakuna ubaya mbona watu wanaandika "nyaraka" kutoka kuzimu Nyerere akiongea na watanzania na wengine wanatuma nyaraka hukohuko kumjulisha kinachoendelea. Hivyo ni vijimambo tu vya kawaida.
 
Ni kama kueka aloe vela kwenye asali......tunashangilia ushindi halafu mtu anagusia kidonda cha mioyo ya wengi!!
 
Nani kasema Regia amefariki?
Hapana,hajafariki,maana fikra zake zi hai hata leo!
Bado nikisoma maandiko yake,najifunza mengi!
Long live Regia...
U will never die!
 
Nani kasema Regia amefariki?
Hapana,hajafariki,maana fikra zake zi hai hata leo!
Bado nikisoma maandiko yake,najifunza mengi!
Long live Regia...
U will never die!
ili mradi tu mtafute sababu ya kumtaja ! Kitabu mnatoa lini (cha maisha yake ya shule na mchakato wa kuteuliwa) ?
 
Back
Top Bottom