NENO SHIKAMOO LINANITATIZA NAOMBA MNISAIDIE
Mwanaume kwenye umri ulioenda kidogo akiwa na msichana kwenye MIAKA kuanzia MIAKA 19 na kwenda mbele huwa msichana anamwamkia mwanaume na mwanaume anaitikiakia kwa heshima zote,LAKINI Mwanamke ambae umri umesogea akiwa na mpenzi mvulana akipewa Shikamoo anakataa kuitikia,.Hivi nini sababu,naombeni msaada kwa hili wana JF