sambeke
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 713
- 651
NYUNDO NZITO KWA WADADA,
Umepata Mume, Umempenda Kweli kweli na Umemlalamikia Sana Eti Kwanini Hakupeleki Kwa Wazazi Wake Kukutambulisha,
Jamaa Alikuwa hataki kukupeleka lkn mwishowe akaona isiwe tabu Akakupeleka kwa wazazi wake
Wewe badala kuitumia hiyo nafasi vizuri ,, eti Wewe umefika tu Siku ya Kwanza Umeshinda Unachati na simu , Siku ya Pili Umeshinda Unachati Tena ndio unajisifia kwenye groups upo ukweni
Kumbe ukweni wao Wanakutazama tu na kukupimia Wala Hawakwambii Kitu
Siku ya Tatu Wanakwambia leo ni zamu yako Kupika, Unaingia Jikoni unaona Kila Kitu Kigeni
Vya Huku Unaweka Kule, Vya kule Unaweka Huku (Yaani Hujui Kupika Chochote) unakodoa tu macho
Sufuria Unashika Kama Umeshika smartphone au Power Bank,
Unapika Na Lipstick, Mdomo Mwekunduuu Utafikiri Mtoto wa Jini kahaba Katoka Kufundishwa Kunyonya Damu tena huku Umevaa cloves ,
Umevaa kucha za bandia Zimejaa Nusu Ya Mkono yote, Umevaa Mini Skirt Kama Wafanyakazi Wa ndege ya KLM
Msosi wa Wakwe Huwezi Kupika. Ukiambiwa Hufai Kuolewa Unavuta mdomo ...Unaanza Kulalamika Wakwe Hawakupendi,
Unalalamika Weee, Wewe Unashindwa Kuelewa Kuwa Wewe Ndo Tatizo.
Usitake Kuolewa Ukidhani Mumeo Atakula Chips na Wewe Utakuwa Utakula Pizzas Kila Siku,
Jifunze Hata Kuchemsha Chai Basi, Wewe Muda wote umelala kazi yako kuchat tu Au Unadhani Google Wataleta App Ambayo Unaweka USB Kwenye Simu Yako Alafu Unaielekezea Kwenye Sahani kuandaa chakula
JIPANGE DADA Usidhani Ndoa Ni Kama Kupiga Picha Selfie
Utaishia kuuza ice cream au kusema umelogwa kumbe we mwenyewe ndo mchawi
Sent using Jamii Forums mobile app