Isijekuwa tayari watu washaanza kuchukua advantagesPlease download that as we need some money to pay for are webhosting and to renew are domain, It may come up as a virus because It sends information that you have clicked it so that we can get the money.
Unajua wiki kadhaa sasa kajamaa kangu ka voda kamekuwa kanajiconnect na ku-disconnect, sasa na baada ya kuona hivi leo nimeanza kuogopa
Unajua ilipo tokea tu nikawasiliana na Melo fasta akaweka sawa mambo hata mm niliogopa sana nikajua duh tutaanza kuliwa nini? Lakini Melo kamaliza kwikwi yote.
MOds na admins, nimekuta ujumbe ufuatao wakati nasoma baadhi ya info humu ndani [copied as it was]
Please advice
Thanks mkuu, ila MAx nae ni kamanda wa kufa mtu!!! sijui analala sa ngapi!!
Ni kweli kabisa, JF ni source ya kila jambo kwa mtanzania wa kawaida... kuanzia siasa, uchumi, intelligencia, michezo, udaku, mapenzi, mambo ya kikubwa na kadhalika
Thanks mods na admin kwa kurekebisha kipanzi kilichoingia
Thanks mkuu, ila MAx nae ni kamanda wa kufa mtu!!! sijui analala sa ngapi!!
duh! wakulu hata mi niliikimbia JF mida ya asubuhi manake ilikuwa nikigonga hivi hola nakutana na ujumbe, kwa uzoefu wangu nikajua hili changa la macho tu,,
mkuu Fidel umefanya la maana kumwambia Max chap chap walau sasa libeneke linaendelea.
Sasa ilikuwa kirusi ama ni nini?