Inajulikana kwakuwa msg unatumiwa na fake number mfn unaweza pata msg toka kwa mtu unayemjua alafu ukajarbu kumpigia akakushaa kwakuwa ajakutumia wanachofanya hao matapeli watengeneza fake number .[/QUOTE]QUOTE="Biobenga, post: 16097669, member: 259547"]Mkuu sijakupata vizuri, hiyo huduma inafanyaje kazi, inajuaje kama anaetuma msg ya kuomba pesa sio mmiliki halali wa hiyo simu.