Bishop Hiluka
R I P
- Aug 12, 2011
- 7,150
- 14,730
Nadhani watoto wa fb mmepotea njia. Rudini fb yenu
Wewe ndo umepotea jukwaa, rudi kule kwenye siasa ukaendelee kupata stress...
nikuchekeshe leo nimeomba access ya jukwaa la wakubwa aiseeee nimehisi kizunguzungu na huu utu uzima wangu......unahitaji roho ngumu nadhani baada ya jukwaa la siasa na katiba la wakubwa linafuatia kwa STRESS

Ndo unalipataje hilo jukwaa la wakubwa mim nalitaka ila silioni
nikuchekeshe leo nimeomba access ya jukwaa la wakubwa aiseeee nimehisi kizunguzungu na huu utu uzima wangu......unahitaji roho ngumu nadhani baada ya jukwaa la siasa na katiba la wakubwa linafuatia kwa STRESS
Aisee mbona umenipa mshawasha wa kulitafuta hilo jukwaa
mmmm....mshawasha niliokuwa nao nimeomba wanitoe kule ni sheeedah...
Teh teh ulimuomba nani?
PM invisible....ila you get acess at your own risk
Ila jiandae kuanza kuongea peke yako barabarani, maana ni full stress!