Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Duh kwani wanakosa nn hao wajane na mabint mpk waolewe kwa waume za watu?
kwa sababu Wanawake ni wengi kuliko wanaumendio maana Waislam wameruhusiwa kuwaoanwanawake 4 kisheria ya dini JerrymsigwaDuh kwani wanakosa nn hao wajane na mabint mpk waolewe kwa waume za watu?
Ni kweli ni amri ya Mwenyeezi Mungu kuwaowa wanawake 4 katika dini ya kiislam wameruhusiwa ili kusiwepona Zinaa King'astiNdo amri ya mungu bwana. Hebu sitiri binadamu wenzio
Sio picha hiyo ni Maneno ya ukweli ndani yake Excelis this a photo???.. lol, kidding!
Umesema ukweli Mkuu Percival Mwanamme mmoja ana uwezo wa kuwa na wanawake zaidi ya mmoja kwanini asiowe wake wa kihalali?ni kwa manufaa ya jamii - kihalali nakisheria