Ujumbe gani huu!

Ujumbe gani huu!

popiexo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
742
Reaction score
184
Kipanya.jpg
Nimejaribu kutafakari ujumbe uliopo kwenye cartoon hii nimechemsha, sijui alitaka kutoa ujumbe gani?
 
Tunda lenye miiba huliwa kwa kumenywa kwanza.......huyu kalimega zimazima na kumeza miiba...........miiba ni sumu.....Urais ni kama hili tunda

Durian-Durian.jpg
 
Tunda lenye miiba huliwa kwa kumenywa kwanza.......huyu kalimega zimazima na kumeza miiba...........miiba ni sumu.....Urais ni kama hili tunda

Durian-Durian.jpg
Nimekupata ina maana Jamaa kameza na miba yake, itakuwa inamchomachoma.
 
Huoni miaka yote nane (8) ya Utawala wake JK Kala kiduchu tu? Urais mibamiba tupu...ajute kuufikiria!!
 
Back
Top Bottom