Dunia sio umbo la gololi au mpira dunia ni flat, na hakuna sayari nyingine yeyote ndani ya universe,sayari ni moja tu nayo ni dunia which consist of only sun,moon and the stars..""
, ----____________________________
Yaan ulipofikia hapa nikashindwa Namna ya ku kupata ili nikusaidie haraka sana kukupeleka milembe, tukikuacha unaweza kuatarsha usalama wa majiran na Familia yako
Yaan ulipofikia hapa nikashindwa Namna ya ku kupata ili nikusaidie haraka sana kukupeleka milembe, tukikuacha unaweza kuatarsha usalama wa majiran na Familia yako
Na wewe wahi kavute bangi zako,ila nikuonye tu mimi ni afisa usalama wa taifa na tunawasaka kwa udi na uvumba tuwatie kwenye 18 zetu wavuta bangi wote, nakuapia hautapona risasi ya moto inakungoja.