luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,361
- 6,967
Tupieni na vipicha
Inaongoza ukilinganisha na wapi?Wilaya ya Bunda inaongoza kuwa na gesti nyingi, tena bei haizidi 5000, kila kona unayopita ni gesti, watu si kutinduana huko.
Bijampola kule Nyihogo area, sasa kwishney - hapafai tenaMasai club bado ipo???..Chillers na pale bijampola kwa Malaya wachafu, Kahama pako vizuri hela ipo pale..
Nilichukuaga demu Masai hapo akajikojolea kitandani, dah aliharibu show yote..ujana shida sana..
Ni sahihi kabisaWilaya ya Bunda inaongoza kuwa na gesti nyingi, tena bei haizidi 5000, kila kona unayopita ni gesti, watu si kutinduana huko.
Kweli mkuu Bunda ina gest nyingi sana mpaka ianatisha hivi bado zile best za utimbalu bado zipoWilaya ya Bunda inaongoza kuwa na gesti nyingi, tena bei haizidi 5000, kila kona unayopita ni gesti, watu si kutinduana huko.
Kahama ilikuwepo kabla ya huo mgodi,migodi midogo ndiyo hasa ina impact kubwa Kahama.Kahama inakata roho..mgodi umeshafungwa