Ujue mji wa Kahama na viunga vyake

Ujue mji wa Kahama na viunga vyake

MWAKATA KWETU

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
560
Reaction score
320
Mji wa Kahama ni miongoni mwa miji inayokua kwa kasi Tanzania. Shughuli kuu ya kiuchumi ni biashara ya Mazao, maduka ya jumla na rejareja, uchimbaji wa madini, kilimo na ufugaji. Idadi ya watu inaongezeka kila siku.

Shughuli za kiserikali

Kuna baadhi ya taasisi mjini hapa zina hadhi sawa na Mikoa au Manispaa. Taasisi hizo ni Mamlaka ya Maji KUWASA, Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) na TAKUKURU.

Pia Mji wa Kahama umeingizwa katika orodha ya miji inayofadhiliwa na mfuko wa Benki Kuu ya Dunia kujenga miundombinu kwenye Manispaa na Majiji. Chanzo cha habari hii ni Kwizera FM ilipokuwa ikifanya mahojiano na Meya wa mji wa Kahama bwana Abery Shija.

Viwanda

Katika kuunga mkono juhudi za Rais katika sekta ya Viwanda, Kahama inakua katika sekta ya viwanda huku tukishuhudia ujenzi wa viwanda na ufunguzi.

Tumeshuhudia ufunguzi wa kiwanda cha Mabati, Nondo n.k. Pia kiwanda cha kutengeza bidhaa za plastiki na kiwanda cha kukamua Mafuta. Pia kuna ujenzi mwingine unaendelea wa kiwanda cha kutengeneza Mifuko.

Mawasiliano na Uchukuzi

Kahama ni kati ya miji nane Tanzania ambayo ina viwanja vya ndege. Hivyo ukiwa Kahama unaweza safiri kwa basi au ndege.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kahama ni mji mzuri sana na unaendelea kukua kwa kasi sana. Bora makao makuu ya mkoa yangekuwa hapo, Shinyanga kumepiga usingizi kabisa.

Maajabu ya nchi yetu ni kwamba katika awamu hii unaweza kushuhudia hata Chattle inakuwa municipal huku kahama ikiendelea kuitwa mji!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kwel kwan Mbeya inahadhi gani kuwa jiji.

2019 hatua 1 yenye mafanikio zaidi
 
Masai club bado ipo???..Chillers na pale bijampola kwa Malaya wachafu, Kahama pako vizuri hela ipo pale..

Nilichukuaga demu Masai hapo akajikojolea kitandani, dah aliharibu show yote..ujana shida sana..
Masai club haiko active Sana siku hizi kama zamani, binampola haijabadilika, club chiller business as usual...
Pole kwa yalokukuta..
Karibu Sana Kahama....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masai club bado ipo???..Chillers na pale bijampola kwa Malaya wachafu, Kahama pako vizuri hela ipo pale..

Nilichukuaga demu Masai hapo akajikojolea kitandani, dah aliharibu show yote..ujana shida sana..

Nilikua hapo jana,masai club ishafungwa na jengo limerudishwa kwa j.4 ndegesela,chillaers ipo inakamua kama kawa
 
Kahama nilienda last year pako vizuri kamji kakubwa sana... Michele imejaa mwaka mzima haiishi... Ila Pale Stand vyoo vinanuka kuliko maelezo utadhani vyoo vya Shule za interior
 
Mji wa Kahama ni miongoni mwa miji inayokua kwa kasi Tanzania. Shughuli kuu ya kiuchumi ni biashara ya Mazao, maduka ya jumla na rejareja, uchimbaji wa madini, kilimo na ufugaji. Idadi ya watu inaongezeka kila siku.

Shughuli za kiserikali

Kuna baadhi ya taasisi mjini hapa zina hadhi sawa na Mikoa au Manispaa. Taasisi hizo ni Mamlaka ya Maji KUWASA, Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) na TAKUKURU.

Pia Mji wa Kahama umeingizwa katika orodha ya miji inayofadhiliwa na mfuko wa Benki Kuu ya Dunia kujenga miundombinu kwenye Manispaa na Majiji. Chanzo cha habari hii ni Kwizera FM ilipokuwa ikifanya mahojiano na Meya wa mji wa Kahama bwana Abery Shija.

Viwanda

Katika kuunga mkono juhudi za Rais katika sekta ya Viwanda, Kahama inakua katika sekta ya viwanda huku tukishuhudia ujenzi wa viwanda na ufunguzi.

Tumeshuhudia ufunguzi wa kiwanda cha Mabati, Nondo n.k. Pia kiwanda cha kutengeza bidhaa za plastiki na kiwanda cha kukamua Mafuta. Pia kuna ujenzi mwingine unaendelea wa kiwanda cha kutengeneza Mifuko.

Mawasiliano na Uchukuzi

Kahama ni kati ya miji nane Tanzania ambayo ina viwanja vya ndege. Hivyo ukiwa Kahama unaweza safiri kwa basi au ndege.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ila la kuhusu UKIMWI / Dally Kimoko unaopatikana kwa uwingi sana hapo Kahama umesahau au umejisahaulisha tu?
 
Back
Top Bottom