au bado nini?yaani sijui ni nguo au bado...
umriau bado nini?
Nguo tu. umri umeshaendaumri
akivaa gauni pale....Nguo tu. umri umeshaenda
anapendeza piaakivaa gauni pale....
Ana kijungu cha ukweli[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ha ha ha ha, ama kweli ng'ombe hazeeki maini
Mzee wa tuela vya mboga.
Mamende utawajua tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo mama kapendeza na hicho kisuruali inaonyesha yaliyomo bado yamo.
Aiseeh JF ni kiburudisho, hata kama umenuna utacheka tu.mshana jr, huyo jamaa anayesimamisha simamisha hovyo barabarani ili aongee na simu, ni pacha wako?
Hhahahahahaha chaaaa!!!kuna yule jamaa mbongo fleva aliimbaga nakupenda bibi kizee nakupenda kikongwe,sijui alikuwa anamaanisha au alikuwa na matamaa yake tu yakishetani