[emoji2] [emoji2] [emoji2] Acha tu mkuu..nitang'oa jicho linanitia aibu sana kuangalia na kuilazimisha akili kuwa saa 12 jion ni saa sita mchanaUtamu hauna umri [emoji125] [emoji125] [emoji125]
dah! sasa afanyaje na bado mwili unaitaHuyo mama kapendeza na hicho kisuruali inaonyesha yaliyomo bado yamo.
yaani sijui ni nguo au bado...Huyu mama akipiga suruali ya model. anakishep flan amaizing..