Ujio wangu

Ndio nimeingia hivyo JF. Mkipenda nikaribisheni au mnune.
We unaonekana ulikuwepo kwa jina jingine tena nahisi wewe ni WA KUSOMA*coz mgeni hawezi kuja kwa ukali kiivyo tena siku ya kwanza. Mi nina hofu nawewe kuwa ni GAMBA.
 
We unaonekana ulikuwepo kwa jina jingine tena nahisi wewe ni WA KUSOMA*coz mgeni hawezi kuja kwa ukali kiivyo tena siku ya kwanza. Mi nina hofu nawewe kuwa ni GAMBA.

sijakusikia vizuri, eti umesema "gwanda?"
 
album pekee mambo ya movie sio mpenzi. Je naruhusiwa kutoa picha moja na kuondoka nayo nikiipenda?
Unaweza, hamna shaka. Ukitaka unaweza hata kutumia kama profile picture ili watu wajue kabisa kua tuna uhusiano wa karibu (blushing)
 
Karibu sana Mwi.....ooh shit sorry, nimekufananisha! Karibu mgeni, watokea wapi?
 
Karibu sana Mwi.....ooh shit sorry, nimekufananisha! Karibu mgeni, watokea wapi?

aarrrrrrrrgghhh! mambo gani haya ya kumfananisha mgeni ambaye hujawahi kumuona?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…