Ujio wako Mh. Waziri Mkuu hapa Karatu

Ujio wako Mh. Waziri Mkuu hapa Karatu

Gsana

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
4,383
Reaction score
1,340
Nafurahi kusikia kuwa mh.waziri mkuu umekuja kuzindua miradi karatu,ila nakuomba usaidie aya : karatu kuna maji ila si masafi alaf sio kila sehemu ina maji,tunaomba utuhakikishie maji,tunachoka na maji machafu na maji ya kununua kwani matajiri wa hapa wanauza maji na serikali yako haijaleta juhudi za kutosha ktk maji. Pili,tunaomba kujua ni kwa nini hasa apa karatu hakuna mawimbi ya redio?ukienda mlimani unapata redio ila mjini hakuna eti kisa hakuna mitambo wakati hata porini biharamulo kuna network. Fikiria leo tar19 sept hakuna network ya airtel tangu kuche,ndo nini jamani? la mwisho ,tv hazishiki etí hakuna vingamuzi labda kwa kutumia dish na karatu cable!mwaka jana serikali yako sikivu ilikata analogy na kuleta digital,mbona sasa karatu hatuna vyote,analogy na digital?sina shaka na utendaji mzuri wa karatu cable kwan ni zaidi ya startime,ila je wengine hatuna haki ya kupata mawimbi ya service provide wengne?sitaongelea barabara za vumbi kwa kuwa karatu licha ya kupangiliwa vema kimitaa,haijua hata lami ina rangi gani.! Mwisho ,salam sana toka kwa rais wetu wa mioyoni, dr slaa...kwani apa upo kwenye taifa lake,ni busara to pay respect. Karibu karatu!
 
Mbunge wenu anayajua haya? Katibu Mkuu wa CHADEMA je?
 
Mleta mada jaribu kidogo kuandika kwa mantiki panga mawazo kwa mtiririko utaeleweka 2
 
mkuu mbunge wenu anafanya kazi gani kwani pinda ni mbunge wa karatu?
 
mchungaji natse amefanya jitihada gani kukabili matatizo hayo au wanawatumia kwenye mandamano tu halafu basi.
 
Sjaona kosa lolote kwa alieleta hii mada. amekosea tu kwenye matumizi ya "H" lakini post imesimama sana. Mbunge yupo lkn na wazr mkuu naye kupaya ujumbe huu ni muhimu pia.
 
Mbunge wenu anayajua haya? Katibu Mkuu wa CHADEMA je?

Kwani hao ni sehemu ya serikali hata kama wanayajua? Serikali iliaihidi maisha bora kwa kila mtu, clean and portable water inclusive. Imetekeleza? Kama bado mzee wa wapigwe tu itambidi ajieleze.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Pinda anakuja Kichama au Kiserikali? Mbona vijiji watu wameambiwa wavae sare za CCM?
 
Dont waste your time for beging mr wapigwe while kwake hata hayo maji machafu hayapo
 
Huyu naye gamba.Hajui hata aandike nini kwa faida ya nani
 
mkuu mbunge wenu anafanya kazi gani kwani pinda ni mbunge wa karatu?

Mbona Profesa Maghembe alifika hapa Wilayani juzi na akazindua hata mradi wa Maji Getamok? Hebu niambieni itinerari yake anafika wapi na wapi na shughuli zipi anakuja kufanya?
 
Vipi kuhusu KAVIWASU ambayo mlijivunia sana hapo Karatu?Inasikitisha sana kuwa viongozi wao wamegeuka wafanyabiashara ya maji Karatu mjini.Wametumia mashine za mradi kuchimba visima vyao,sasa wanawauzia wananchi.Mfano mzuri ni Mwenyekiti wa H/shauri (W)Lazaro Massay(CDM). CHADEMA haina chake Karatu 2015 kama ndo hivi
 
Nafurahi kusikia kuwa mh.waziri mkuu umekuja kuzindua miradi karatu,ila nakuomba usaidie aya : karatu kuna maji ila si masafi alaf sio kila sehemu ina maji,tunaomba utuhakikishie maji,tunachoka na maji machafu na maji ya kununua kwani matajiri wa hapa wanauza maji na serikali yako haijaleta juhudi za kutosha ktk maji. Pili,tunaomba kujua ni kwa nini hasa apa karatu hakuna mawimbi ya redio?ukienda mlimani unapata redio ila mjini hakuna eti kisa hakuna mitambo wakati hata porini biharamulo kuna network. Fikiria leo tar19 sept hakuna network ya airtel tangu kuche,ndo nini jamani? la mwisho ,tv hazishiki etí hakuna vingamuzi labda kwa kutumia dish na karatu cable!mwaka jana serikali yako sikivu ilikata analogy na kuleta digital,mbona sasa karatu hatuna vyote,analogy na digital?sina shaka na utendaji mzuri wa karatu cable kwan ni zaidi ya startime,ila je wengine hatuna haki ya kupata mawimbi ya service provide wengne?sitaongelea barabara za vumbi kwa kuwa karatu licha ya kupangiliwa vema kimitaa,haijua hata lami ina rangi gani.! Mwisho ,salam sana toka kwa rais wetu wa mioyoni, dr slaa...kwani apa upo kwenye taifa lake,ni busara to pay respect. Karibu karatu!
angalia usije ukapigwa tu.
 
mkuu mbunge wenu anafanya kazi gani kwani pinda ni mbunge wa karatu?
Mnajidai wajanja kumbe ni matutusa wa kutupwa! mpaka leo hii hujui kazi za mbunge ni zipi! kwanini usife tu maana unatumalizia oxygen bure!
 
nafurahi kusikia matusi na hoja za msingi za wachangiaji...najua mh Pinda kayapata aya. Mburula wengine wanauliza kama mbunge au dr slaa amesaidiaje,sijapenda kughusia michango yao kwa kuwa karatu nzima inaeleweka kazi wanayoifanya,hakuna ubishi apo...la msingi ni kuelewa mipaka ya mbunge na serikali kuu na serikali za mitaa...kuna vitu viko chini ya mbunge na vingine viko kwenye uwezo wa waziri mkuu kama serikali kuu. Jitambue.
Je mnataka mbunge ajenge barabara?ok dr amesaidia ipatikanaji wa maji..mnatakata tuufanye msalaba kwake kwa kuhakikisha maji safi na salama miaka yote???mnaelewa maana ya kuwa na SERIKALI?? Kama yote yanwezekana chini ya mbunge na dr slaa , kwa nini then waziri mkuu anakuja karatu?kunywa bia na kutembelea mbuga zetu?hapana ,anayo kazi ya kufanya. Kama mnatuhakikishia kuwa dr slaa na mbunge ndo kila kitu, basi hatuna haja na serikali na ingefaa basi serikali yenu iondoke madarakni apewe uyo dr slaa na mbunge.
Leo hii mh Pinda unatembea na msafara wa gari26, zoote v8 na Ford pamoja na ambulance,gharama za mafuta na maintainance za siku 3 ungeweza kutujengea hata zahanati au basi hata kisima cha maji safi tungekusifu milele.

BADO SERIKALI MNAYO MAJUKUMU YA KUTULETEA MAENDELEO KAMA TAIFA NA SI VINGINEVYO.
KARIBU MH PINDA HAPA KARATU.
 
Huyu naye gamba.Hajui hata aandike nini kwa faida ya nani

we call a spade a spade,,,siandiki nini kwa faida ya nani,,,,ungependa niandike vp ili nifiche udhaifu?nawe hujui uelewe nini kwa faida ya nani...so low
 
Back
Top Bottom