Wewe ni Imani gani? Ni nini legacy ya babu zetu?? Kisayansi labda!! Ni nini tunachoweza kujisifia kwa babu zetu!## ni uchawi,,uganga,,uvivu na kuoa na kuchunga mifugo?? Je hata sasa hivi unahisi tutawaachia nini kizazi kijacho?? Bora hata ungechagua imani tu uwaachie urithi watoto wako la sivyo utakuwa kama babu zako...Yesu sio mtu hata aeleweke kwa akili ya kawaida.
endelea kujidanganya hivo hivoWewe ni Imani gani? Ni nini legacy ya babu zetu?? Kisayansi labda!! Ni nini tunachoweza kujisifia kwa babu zetu!## ni uchawi,,uganga,,uvivu na kuoa na kuchunga mifugo?? Je hata sasa hivi unahisi tutawaachia nini kizazi kijacho?? Bora hata ungechagua imani tu uwaachie urithi watoto wako la sivyo utakuwa kama babu zako...Yesu sio mtu hata aeleweke kwa akili ya kawaida.
Wewe ni Imani gani? Ni nini legacy ya babu zetu?? Kisayansi labda!! Ni nini tunachoweza kujisifia kwa babu zetu!## ni uchawi,,uganga,,uvivu na kuoa na kuchunga mifugo?? Je hata sasa hivi unahisi tutawaachia nini kizazi kijacho?? Bora hata ungechagua imani tu uwaachie urithi watoto wako la sivyo utakuwa kama babu zako...Yesu sio mtu hata aeleweke kwa akili ya kawaida.
We jifariji hata nafsi yako inakushuhudia kwamba Kristo atarudi ndio maana ukaandika,heri uokoke mapema maana atakaye kosa mwaliko ule itakuwa kilio na kusaga meno
Huwa najiuliza kilitokea nini hadi watu wakapokwa historia yao.
Wakauziwa huu utapeli unaoitwa dini pamoja na Miungu yake kwa gharama kubwa hata ya maisha yao.
Sasa hivi watu wengi hasa wa nchi masikini ndio wamebaki kuabudu huu utapeli.Hata public figures wasioamini kwenye hayo mambo huwa wanaigiza kuamini ili waonekane wapo pamoja na wafia dini mradi wapate wanachokitaka kutoka kwao.
Yesu hakuwa na uungu kwa namna yoyote ile, alikuwa mtu wa kawaida na alishajifia zamani na kuozea kaburini[possibly aliuawa kwa makosa ya uhaini].
Wanaomsubiri sijui wanasubiri atoke wapi.
Kabla ya kifo chake Yesu alisema angerudi kabla ya kufa kwa watu waliokuwa wakimsikiliza.Cha kushangaza leo ni miaka 2017 hajaonekana popote.Kama kuna mtu anayemsubiri Yesu arudi au anayesubiri siku ya kiama ifike, huyo ni wa kumtibu.
Ukikuta mtu anaamini dini kwa 60% na kuendelea, huyo ana matatizo ya kihisia ama ya kisaikolojia.Mtu nyumba za ibada anashinda kama kaajiliwa humo..! Siku ya kusali akienda mpaka mnamsahau..! Utindiga huo sifanyi kabisa. Nilifanya wakati nafunga ndoa ndio nilikubali huo upwenku.
Toka niwe kundi la Mchungaji wangu Bob nawaza pesa tu kama Wachina. Mapunziko ya akili 300 tu nakuwa fresh full Upendo kwa Raia.
Mkuu kuacha kuamini katika dini na kuamini katika sayansi ndiyo kupi huko? unamaanisha wazungu mwanzo walikuwa wakiumwa wanaenda kwenye nyumba za ibada badala ya hospitali kwa sababu walikuwa wanaamini dini ama VP?Wameleta dini lakini wengi wao sasa hivi hawaamini katika dini bali wanaamini katika science, wanatumia akili nyingi kuvumbua na kutuacha tukilia shida kuamini shetani ndo kaileta na ili kutoka katika hiyo shida tunapaswa kukesha tukiomba msaada kwa Mungu badala ya kufanya kazi kwa bidiii....
Mkuu kuacha kuamini katika dini na kuamini katika sayansi ndiyo kupi huko? unamaanisha wazungu mwanzo walikuwa wakiumwa wanaenda kwenye nyumba za ibada badala ya hospitali kwa sababu walikuwa wanaamini dini ama VP?
Io pia ni dini tu cema hujijuiMtu nyumba za ibada anashinda kama kaajiliwa humo..! Siku ya kusali akienda mpaka mnamsahau..! Utindiga huo sifanyi kabisa. Nilifanya wakati nafunga ndoa ndio nilikubali huo upwenku.
Toka niwe kundi la Mchungaji wangu Bob nawaza pesa tu kama Wachina. Mapunziko ya akili 300 tu nakuwa fresh full Upendo kwa Raia.
Hujajibu swali mkuu ndiyo kwanza unazidi kunichanganya kwa kuniambia dini zimeundwa kwa ajiri ya watu weusi na masikini maana utanifanya nianze kuuliza maswali mengi mengine ili nipate uhalisia usemacho.Dini iliundwa kwa ajili ya mtu mweusi na maskini, wao wengi hawaamini. kiwango cha maendeleo kimewafanya waamini zaidi katika uvumbuzi na jitihada na kuona kwamba hawana cha kuomba kama kila kitu kinaweza kupatikana. Kwa mtu mweusi asilimia kubwa ya watu wanakimbilia kwenye hayo makanisa kupata msaada wa maombi bila kufikiria namna ya kutatua tatizo hilo kwa njia nyingine.