kwenye king'amuz cha startimes kuna kituo kipya ch televishen kinaitwa TV 1 chanel 103 hiki kituo ni cha hapa bongo ama nje ya nchi na mmiliki wa hiki kituo
Ni cha hapa hapa bongo ila baadhi ya vipindi vyake vitakuwa na mchanganyiko wa Tamaduni zetu na za kigeni hasa kwenye Burudani na baadhi ya vipindi vingine mwazo mwisho vitakuwa vya Nje ya nchi endelea kufuatilia matangozo soon kitaanza kuruka hewani kwa majaribio...!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.