Ujio wa Tundu Lissu na shamrashamra za mapokezi makubwa zaashiria CCM kutupiwa virago na wapiga kura Oktoba hii

Kuchagua mkuu wa nchi kwa kuangalia uwezo wake wa kukagua gwaride ni sawa na kuchagua mke kwa kuangalia kalio lake
Ungenipa mfano wa amiri jeshi m1 tu duniani ambae ni kilema ningeamini ya kwamba kweli nina akili ndogo. Tofauti na hivyo nakuona wewe una akili ya konokono
 
Tatizo la Zitto ni ubinafsi lkn pia washauri wake wengi wao ni watu wenye tamaa ya utawala
 
Yaani wewe pascal nashindwa hata jinsi ya kukuhukumu
 
Kuchagua mkuu wa nchi kwa kuangalia uwezo wake wa kukagua gwaride ni sawa na kuchagua mke kwa kuangalia kalio lake
Hujajibu hoja.

Duniani umewahi kumuona amiri jeshi kilema? Usilete mifano ya kinyimbu hapa.
 
Kwa lipi haswa!!..
Watu kwenda kumpokea mgonjwa aliyepona.. au.. mtu anayeweza kuwa kiongozi wao?..

Muwe munafikiria nje ya kaboksi..

2020 Magufuli bila wasi kwabisaaaaa..
Wewe ni mjane sasa baada ya Bashite kukuwacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…