Ujio wa Rank Math ni anguko la Yeost SEO?

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
21,339
34,417
Habari?

Kwa muda sasa Yeost imekuwa plugin inayokimbiza kwenye anga za SEO, lakini baada ya ujio wa Rank Math upepo umeanza kubadilika.

Rank Math inakupa features zote za Yeost SEO Pro for free, yes free, no charges.

Mpaka sasa Rank Math ina active installs zaidi ya laki moja na kila siku members wanaongezeka.

Wadadisi wanadai Rank Math ni light kuliko Yeost SEO.

Mpaka sasa Rank Math pamoja na kutoa features za Yeost Pro for free lakini wako mezani wanaandaa pro version.

Je Rank Math inaweza kuwa ndiye mshindani wa Yeost SEO katika anga za Wordpress SEO?
 
Wakati huo huo yoast SEO ana active installation zaidi ya millioni 5.
Isitoshe bado Kuna premium version na wakati hii free version bado inabamba tu.
Nafikiri yoast SEO atazidiwa baadae sana labda ni kutokana na ugumu wa kuitumia.
 
Active installations sio tatizo mkuu... Angalia kasi ya rank math utaelewa ....na idadi ya watu wanao hama yeost kwenda rank math.

Kama free wanatoa huduma za yeast pro... Je ikija rank math pro si itakua mara kumi ya yeost?
 
Kwa wapenda vya bure lakini hata ikishuka kimatumizi bado itakua juu tu since nimeshakuambia Kuwa premium version inafeatures kibao ambapo hiyo rank math wanaiga.

Ishu labda tuseme kampuni za developer wadogo wasiojiweza wataitumia sana hii rank math.

Alafu unakosea sana ni yoast SEO na sio yeost SEO
 
Shida sio kuiga maana wao wenda waliiga sehemu, kitu unatoa free alafu mtu mwingine anatoa kwa pesa, kama ubora unafanana lazima yule anayetoa free awe juu.

Ivi developers wanaotumia linux hawajiwezi kisa hawatumii windows OS?

Sawa sawa.

Mkuu kwa mtazamo wangu jaribu kuitumia rank master uone maajabu!!
 
Ninaposema developer wasiojiweza simaanishi uwezo wa kufanya kazi Bali uwezo wa kipesa sijui umeelewa.

Umeleta mada nzuri ila sasa kama kawaida yetu wabongo EGOs zimeanza kuingia,NIlitarajia mada ingenoga kwa watu kuweka nondo za Rank master na Yoast ila naona stori imekuwa tofauti ila binafsi nafikiri ni mapema kufikiri kwamba Yoast itashuka hasa kutokana na ukweli kwamba imekuwepo muda mrefu na hilo tu linahitaji mshindani wake kuwa na bidii.Nafikiri ni vyema tukatumia ile ambayo tunaona inatufaa na mwisho wa siku,good ranking ni content quality kwanza....
 
Ninaposema developer wasiojiweza simaanishi uwezo wa kufanya kazi Bali uwezo wa kipesa sijui umeelewa.
Nilikupata vizuri sana na ndio maana nikakuuliza...

"Ivi developers wanaotumia linux hawajiwezi kisa hawatumii windows OS?"

Yaani namaanisha makampuni/developers wa IBM, facebook etc wanapotumia linux inayopatika free ni kwamba hawajiwezi kiuchumi kweli?
 
ila binafsi nafikiri ni mapema kufikiri kwamba Yoast itashuka hasa kutokana na ukweli kwamba imekuwepo muda mrefu na hilo tu linahitaji mshindani wake kuwa na bidii.Nafikiri ni vyema tukatumia ile ambayo tunaona inatufaa na mwisho wa siku,good ranking ni content quality kwanza....
Umeongea point ya msingi sana, ni kweli haiwezi kushuka kirahisi ila atleast kwa sasa amepata mpinzani ambaye akizembea tu atapotezwa! Personally naitumia kwenye site zangu mbili na nnaona inafanya vizuri na developer wake wako very active hasa kwenye kujibu kero za watumiaji na ku release updates!!
 
Ungefanya intro kwa ufupi ya hayo unayozungumzia ili na wasio na uelewa nayo wajue pa kuanzia na kupanua ufahamu wa mambo. Nimeona ni kitu kipya kwangu.
 
Nilivyoelezwa: Wanawapa makampuni ya matangazo taarifa zangu kama vile umri, mahali ninapoishi, vitu ninavyopenda ni ili waniletee matangazo. Kitu ambacho siyo tatizo sana kwa watu wengi. Facebook haiwezi kufa kwa sababu hiyo tu mpaka itakapokuja kampuni nyingine kama facebook
 
Back
Top Bottom