mpenda pombe
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 1,408
- 704
Nimepata nafasi ya kuisikiliza ngoma ya Jay Mo "Super Man" inaitwa PESA YA MADAFU. Mo kaamua kubadilika na kwenda kwenye trap beat.
Ni vizuri ila me naona amepoteza ile ladha ya Jay Mo halisi..
Anyway Muziki wetu sasa ni kichupa kikali tu, nategemea atafanya uwekezaji mkubwa kwenye kichupa aibebe PESA YA MADAFU.