Micro E coli
JF-Expert Member
- Oct 31, 2011
- 938
- 192
Subir ashuke Wera uone mziki wake!
Alishuka na Le profesor Jean Kibese, Shaingengee, Serge Minyor Manyata, Rio, Fikare Mwamba kwenye Solo akisaidiana vzr kbs na Chechenko mwana Chelsea.
Show ilikuwa mbaaya hakuna mfano.
Vyombo vilikuwa vibovu na vyenye kuzimazima kila muda.
Watu hawakuwa wengi, inakadiriwa kuwa kama watu si zaidi ya 25 na waliokuwepo ni wale wapenzi wa JB Mpiana toka moyoni.
Hakika king Dodoo kamvua nguo Mareshare Mukulu kwa kuandaa show kama ile kwa kiingilio cha elfu 25.