Haya wewe mwenyeji wa simu za bei mbaya endelea kubaki na imani yako wala sio lazima ukubali nilichosema ila subiri mwezi ujao simu itatangazwa then utaona mwenyewe.
nakuunga mkono mkuu. rumors zinasema september sio november kutakua na iphone 6 yenye screen size ya 4,7" na iphone 6L yenye kioo cha 5,5". zitatofautiana specifications pia ila same operating stm. bei hazijavuja sana ila haitazid 2mill ya tz unless iwe customized.
hizo picha nadhani fotoshoped tu. iphone hawawez unda simu yenye bezel ndogo hivyo. lg samsung sony ndio wanaweza
mkuu una maana gan hapo kwenye red?
Hauna mpango wa ku-upgrade mac book pro hiyo?
Put it as a signature and turn it onJamani ivi mbona mi toka ninunue simu yangu hainiletei yale mambo ya "From my iPhone using jamii forums" kama wenzangu? Nifanyaje?
ahaaaa !!! Mbaya zaidi kama una mchepuko bora usiende nayo maana ina kawaida ya kusema yaani ni noma hii cm
una akili sana mkuu..Ngoja itoke hiyo Iphone 6 ili hizi nyingine zishuke bei tununue